Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna dogo Jana nilimuona anaitwa STEFAN BAJCETIC no 45 nadhan ,huyu dogo Yuko vizuri,anajiamin mno...NDIO ALIPOKONYA MPIRA NA KUMPA ELLIOT KUTENGENEZA GOLI LA NNE
Anajua sana uyo dogo anatakiwa yy na Morton waende kwa mkopo championship kwa maendeleo yao kwasasa sizani kama wanapata nafasi sana ya kucheza dogo ana scanning y hatari anafanya mpira uwe mchezo rahisi kuucheza
 
Naenda thread zingine kuona wanamzungumziaje mnyama Nunez baada ya kuweka nne jana nitarudi na feedback
Screenshot_20220722-145245_Gallery.jpg
 
Naona Sky tetesi kwamba Nunes wa Sporting Lisbon anatajwa kuhamia Liverpool dirisha hili... Ni suala la muda itajulikana.

YNWA
Told that talk of #LFC bidding for Sporting’s Matheus Nunes is nonsense. Club’s stance unchanged regarding summer business. No plans to strengthen midfield further in this window.(James Pearce)

No bid or negotiations for Matheus Nunes to Liverpool, as things stand. Nothing has changed aroud this deal.

Liverpool asked for Jude Bellingham in June, but it was impossible deal - not even a negotiation, as Dortmund consider him ‘untouchable’ this summer(Fabrizio Romano)
 
Angalau sasa umetua mahala pako safi kabisa kwamba Lukaku mlipigwaaaaaaaaaa roho safi £97.3m hata Nunez hajafika hio bei na mshahara mnono kabisa mlilipa na sasa kasharudi Inter Milan na furaha kama zote.... Yule Mchina na Inter Milan alivyosikia mnatoa klabu rekodi ya £97.3m kwa Lukaku hakuamini macho wala masikio yake akasema bora aweze ku balance hesabu zake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣...

Kuhusu Salah kutofunga sio kweli sababu Mane kwenye assist kwenye EPL alikua nazo 2 na Uefa hakuna na assist yoyote hivyo uwe na maneno ya akiba ndugu kuhusu pale mbele sina shaka kabisaaa pataka sawa...

Naelewa adui mwombee njaa lakini hayo maombi yenu yatagonga mwamba kama msimu uliopita...

Muwe na utulivu jamaa yangu hii Liverpool inakuja kivingine kabisa tuna muda mfupi sana kuweka mambo sawa mazoezini kabla ya gemu ya Manchester City kombe la Community Shield lakini nina imani kila mmoja ataelewa majukumu yake vyema kuanza na ligi...

Chelsea mna nuksi kawakataa Raphinah na Lewandowski mtulie hivyo hivyo...

YNWA
Nunez kakiwasha hapo ..katu pruvu wrong au ndio mambo ya preseason..
 
Iv halaand ataiweza hii EPL kweli? Kama pre season tu anapuyanga.
Amecheza Lin pre season ,njoo umuone kesho anacheza na buyern ...

Buyern munich vs man city ..

Saa 2:00 usiku ,mnyama halaand atakuwa kwa ground anawafundisha mpira buyern
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom