Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tim yako Man u tulio itandika goli 9 imekushinda huko umekaa unajipitisha na kanga moko kwenye uzi wa wanaume utapandwa kama kuku mtetea, yaani mnashangilia hadi friendly match shame on u.
Mnaji fariji uku kamoyo kanauma
 
We need that guy, indeed. Klopp atateseka na atuumize sie mashabiki kwa kuwaamini keita, ox, jones, wakati keita na ox hao ni injury prone. Asione wataleta impact kubwa throught the season. One mid can change rythm totally, Refer Bruno alipotua united, he changed it.
Sign the lad.
Kitendo cha Klopp kumpigia dogo Tchouameni simu kumshawishi aje Liverpool inaonyesha dhahiri kabisa hana imani na hawa waliopo kabisa wala hilo ubishi, hana imani na output yao anachokihitaji kutoka kwao...

Keita ni failed project nadhani huyu ndio usajili wa kwanza Liverpool wa Klopp kufeli kabisa maana ule uzi namba 8 wengi tulitegemea kuona mishe za ki Steve G lakini duh katika gemu 20 anazoweka kucheza kwa msimu utaona mechi 2 au 5 tu ndio utamuelewa kimpango baada ya hapo anapoteana... Inanitisha kusikia eti Klopp anakomaa dogo apewe mkataba mpya yaaani ilinistua sana..

Ox huyu tangu lile jeraha la mechi ya Roma Champions League hajawai kua Ox alietoka Arsenal na nguvu mpya ari mpya yaaani lile jeraha naona lilimpiga mno kuliko tulivyodhania na hata baada ya kupona amekua na ubora zigzag kiasi sio tegemezi popote...

Henderson aka Le Captain too bad yupo on the other side ya 30 yrs +na huyu hana jipya ni yule yule wa siku zote.. Ingekua kuna tuzo ya Captain mwenye 'mdomo' uwanjani hakika huyu ningempigia kura... Ile nguvu anatumia 'kuwakaripia' akina Trent, Robbo nk ingekua na miguu yake ina huo umakini hakika huyu angekua hata zaidi ya Thiago... Duniani bahati ipo na Hendo ni mfano bora kabisa wa bahati....

Thiago nae yupo on the other side ya 30 yrs +nae majeruhi huyu hayachezi mbali pia sio mchezaji wa kuamsha amsha ana mpira wa moss moss ambao tangu anatua wengi tulijiuliza atacheza aje hapa Liverpool na zile mbio za akina Robbo nk lakini ameonyesha akiwa mzima ana fit vyema kabisa kwenye mfumo...

The only MF that carries this team...
Fabinho.. The DM King... Klopp msimu mpya lazima aje na mbinu ya kumlinda asicheze mechi zote kumwokoa na majeruhi ya mara kwa mara ili kumpata kwenye ubora wake...

Hivyo ukitazama hapo utaona kabisa hatuna MF wizard established hivyo ni wakati mwafaka sasa Klopp afanye jambo sokoni ili pale kati patulie...

Fabio, Jones, Elliott, Morton bado sana kukamata namba ya kikosi cha kwanza.

Milner anakua pension tu.

YNWA
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Broke Barcelona jamani

Screenshot_20220719_153127_com.android.chrome_edit_5951585615758.jpg

YNWA
 
Screenshot_20220719_153148_com.android.chrome_edit_5913405748055.jpg

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Pep anajiamini sana jamaa baada ya kuona tumemtoa Mane na Origi nae akaona asipitwe akamtoa Jesus na Sterling yaaani hii asipoitazama vyema itamnyoosha...

Pep ana bahati sana Barcelona bado mauzo ya wachezaji yapo chini sana lakini walitaka watue mazima kwa Bernardo Silva...

YNWA
 
Screenshot_20220718_220838.jpg

Mambo ni motooo sanaaaaaaaa....

Mambo ni fire sanaaaaaaaaa..

Upo uwezekano kwa mpangilio huu ndio kiatu cha ufangaji bora EPL msimu wa 2022 2023....

YNWA
 
View attachment 2297111

Mambo ni motooo sanaaaaaaaa....

Mambo ni fire sanaaaaaaaaa..

Upo uwezekano kwa mpangilio huu ndio kiatu cha ufangaji bora EPL msimu wa 2022 2023....

YNWA
Hmm uyo dogo wa fucked spurs, mtoe tu apo, labda conte atumie 4 3 3 ndio atapat regular match

La sivyo, atacheza kam back up ya son na kenny
 
Kwa usajili wa Spurs unavyokwenda na kama wakimpata Nicolo Zaniolo wa kutoka Roma nawapa nafasi kubwa sana kutoa mfungaji wa magoli 20+ msimu huu ten kama ilivyokua kwa Son msimu uliopita.. Kane akicheza kama false 10 amekua msaada mkubwa na pia kumpunguzia yale majerhi ya mara kwa mara.

Conte ni muumini wa 3 5 2 au 3 5 1 1 na kwa mafanikio makubwa kabisa akiwa Inter Milan na akiwa Chelsea na sasa ananunua wachezaji wanaofiti kwenye huo mfumo...

Ngoja tuone ligi ikianza maana hawa Spurs japo hawasemwi sana lakini naona wataleta sana ushindani Conte haridhiki na Big 4 tu anataka Ubingwa wa ligi huyu.

YNWA
 
Wakati Macho na Matarajio ya Mashabiki wa Liverpool na wapenda soka wote yakiwa kwa Mo Salah , je atazifikia Record zilizowekwa kwa kuchukua kiatu (Top scorer) kwa Msimu wa Nne? Kuna record Nyingine inatazamiwa kuvunjwa Msimu Huu.

😎
Robo anahitaji assist 4+ nae TAA anahitaji Assist 8+ tu ili kuifikia ama kuivunja Record inayoshikiliwa na Leighton Baines ya kuwa Beki (FB) Mwenye assist nyingi Zaid

INAWEZEKANA
EPL 2022/23 ni Zaid ya Burudani

#playfair
 
Ni kweli Liverpool wamepoteza mshambuliaji Sadio Mane ambae aliweza kufunga magoli 23 msimu uliopita, lakini Fabinho anatarajia wengine kuchukua nafasi kutoa mchango wao baada ya kuondoka kwake.

Fabinho amewataka Darwin Nunez na Luis Diaz kuongeza kasi ingawa alikiri kwamba mshambuliaji huyo wa Uruguay anaweza kuhitaji muda kuzoea Ligi ya Uingereza.

Liverpool walikosa nafasi ya kushinda makombe Manne, lakini lakini walishinda vikombe viwili vya ndani FA Cup na Carabao pia wakamaliza nafasi ya pili kwenye Ligi ya Uingereza na Ligi ya Mabingwa huku Mane akifunga mabao 23 katika michuano yote.

Msimu huu tumeshuhudia Jurgen Klopp akirekebisha safu yake ya ushambuliaji baada ya Mane kuondoka kwenda Bayern Munich, na kumsajili Nunez kutoka Benfica katika dili ambalo linaweza kugharimu hadi pauni milioni 85 (€100.5m), huku Diaz akiwa na matokeo chanya baada ya kujiunga na Porto mwezi Januari.

Ingawa Fabinho alikiri kuuzwa kwa Mane ni "hasara kubwa" kwa Liverpool, bado anasalia na imani kwamba safu mpya ya ushambuliaji ya Liverpool itawaweka katika kinyang'anyiro cha kupata mafanikio makubwa msimu ujao.

"Darwin anaweza kuhitaji muda kidogo kuzoea, ngoja tuone, lakini mchezaji kama yeye anaweza kubadilisha timu," Fabinho aliambia Athletic.

"Yeye ni nambari tisa halisi. Ni mfungaji mabao. Alifunga katika mechi zote mbili dhidi yetu kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya. Tunajua jinsi alivyo mzuri. "Ingawa tulimpoteza Sadio, bado naamini tunaweza kupigania kila kitu. Timu bado iko imara."

@thisisanfield @liverpoolfc_africa_swahili LiverpoolFC @lfcynwanews @fabinho
 
Nasimama na Nunez.... Sijui kwanini wengi wanafanya hili yaaani kumlinganisha Mane na Nunez wakati ni wachezaji wawili tofauti kabisa...

Actually kwa tetesi za ndani ni kwamba Diaz ndio alisajiliwa kuja kuchukua nafasi ya Mane akiodoka.

Nunez ni Nunez hajaja kuchukua namba kwa mchezaji yoyote yule. Nadhani tangu tuuze Solanke na Rhian Brewster hatujawa na namba 9 halisi klabuni kutokana na mfumo wa Klopp lakini sasa anabadilika na mfumo mpya unahitaji recognised namba 9 hivyo tuwe na subira Klopp anajua anachokifanya.

Binafsi naamini pia atafanya vizuri tu, ukizingatia umri wake bado ni wa kujifunza na kurekebishika...!
 
Naungana na Fabinho...!
 
Nasimama na Nunez.... Sijui kwanini wengi wanafanya hili yaaani kumlinganisha Mane na Nunez wakati ni wachezaji wawili tofauti kabisa...

Actually kwa tetesi za ndani ni kwamba Diaz ndio alisajiliwa kuja kuchukua nafasi ya Mane akiodoka.

Nunez ni Nunez hajaja kuchukua namba kwa mchezaji yoyote yule. Nadhani tangu tuuze Solanke na Rhian Brewster hatujawa na namba 9 halisi klabuni kutokana na mfumo wa Klopp lakini sasa anabadilika na mfumo mpya unahitaji recognised namba 9 hivyo tuwe na subira Klopp anajua anachokifanya.

YNWA
Wewe unajua kuliko wachambuzi wengi wa kibongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom