Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,791
Wachezaji wenye eskipiriyensi Kama hao ndio wanafaa kwa short term plan ..Yani wanatowa uzoefu kwa vijana. Cr7 Ni regular starter kwenye timu yeyote ile. Ila shida Ni profile alonayo Ni kubwa. Hivyo Ni kazi kumkontroo, Silva kapruvu kwamba anafaa kucheza Chelsea. Hata hapa Liver hakosi namba.Ronaldo ana 37 kwa mchezaji wa sasa ni babu huyu 😂😂😂😂...
Imagine Silva babu, Ronaldo babu yaaani hawa Chelsea wangekua Bibi Kizee wa EPL..
YNWA
Pale tumepigwa 😂😂😂
Hatutoi namba Kwa wazeeWachezaji wenye eskipiriyensi Kama hao ndio wanafaa kwa short term plan ..Yani wanatowa uzoefu kwa vijana. Cr7 Ni regular starter kwenye timu yeyote ile. Ila shida Ni profile alonayo Ni kubwa. Hivyo Ni kazi kumkontroo, Silva kapruvu kwamba anafaa kucheza Chelsea. Hata hapa Liver hakosi namba.
#CFC![]()

Tunza hij comment yakoUyo Salah bila Mane sawa Origi tu ..Izo goli 20 msimu atazisikia kwenye Bomba. Saivi Liverpool pale mbele sijui mutamsimamisha nani Tena hahaha ..front three yenu itakuwa na mabutu kibao, Mane hayupo, Salah atafloap ..yule firminho hamna kitu mule ..huyu Nunez tumepigwa mchana kweupe, Ni Lukaku mweupe. Sasa Nani wa kuwabeba? Mutaweza kubehave na title contender kweli? Mimi naona kabisa mutakuwa timu ya kawaida Sana pengine musiiweze kumaliza ligi nafasi za juu.
#CFC![]()





Chimbi wa kizungu yuleNunez walimuangalia game mbili tu za uefa ,wakaingia mkenge![]()

Upo sahihi na ndio maana uliona Liverpool walimchukua mazima Thiago...Wachezaji wenye eskipiriyensi Kama hao ndio wanafaa kwa short term plan ..Yani wanatowa uzoefu kwa vijana. Cr7 Ni regular starter kwenye timu yeyote ile. Ila shida Ni profile alonayo Ni kubwa. Hivyo Ni kazi kumkontroo, Silva kapruvu kwamba anafaa kucheza Chelsea. Hata hapa Liver hakosi namba.
#CFC💙💙💙
twende kwny facts unajua mane alikuwa na assist ngapi msimu ulioisha? unakosea sana kusema salah hatawika bila mane maana asilimia kubwa ya magoli ya salah asist zinatoka kwa trent Liverpool ni mfumo sio mtu mmoja na mfumo unataka timu nzima kucheza kulingana na maelekezo ya mwalimu tena kwa taarifa yako huu msimu salah anaweza kuwa na magoli mengi zaidi huenda akafika kiwango cha msimu wake wa kwnza ndani ya liver ( mark my words)Uyo Salah bila Mane sawa Origi tu ..Izo goli 20 msimu atazisikia kwenye Bomba. Saivi Liverpool pale mbele sijui mutamsimamisha nani Tena hahaha ..front three yenu itakuwa na mabutu kibao, Mane hayupo, Salah atafloap ..yule firminho hamna kitu mule ..huyu Nunez tumepigwa mchana kweupe, Ni Lukaku mweupe. Sasa Nani wa kuwabeba? Mutaweza kubehave na title contender kweli? Mimi naona kabisa mutakuwa timu ya kawaida Sana pengine musiiweze kumaliza ligi nafasi za juu.
#CFC💙💙💙


Kumbe yamepigwa bhna




Angalau sasa umetua mahala pako safi kabisa kwamba Lukaku mlipigwaaaaaaaaaa roho safi £97.3m hata Nunez hajafika hio bei na mshahara mnono kabisa mlilipa na sasa kasharudi Inter Milan na furaha kama zote.... Yule Mchina na Inter Milan alivyosikia mnatoa klabu rekodi ya £97.3m kwa Lukaku hakuamini macho wala masikio yake akasema bora aweze ku balance hesabu zake🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣...Uyo Salah bila Mane sawa Origi tu ..Izo goli 20 msimu atazisikia kwenye Bomba. Saivi Liverpool pale mbele sijui mutamsimamisha nani Tena hahaha ..front three yenu itakuwa na mabutu kibao, Mane hayupo, Salah atafloap ..yule firminho hamna kitu mule ..huyu Nunez tumepigwa mchana kweupe, Ni Lukaku mweupe. Sasa Nani wa kuwabeba? Mutaweza kubehave na title contender kweli? Mimi naona kabisa mutakuwa timu ya kawaida Sana pengine musiiweze kumaliza ligi nafasi za juu.
#CFC💙💙💙
Mane ana furaha kabisa Yuko na amani tele hata ngozi inaanza kutakata.😀😀😀
Hela watoe huko ulaya wewe huku Mbagala ulalamike hasara 🤣🤣🤣Benfica president Rui Costa on Darwin Nunez transfer:
"When we heard Liverpool were interested we were hoping to get 40-45 million as Darwin had a good season.
Two days later we received a official faxed bid of €80m with add-ons from Liverpool. The room erupted into laughter. I told my assistant to fax back asking for €100m with add-ons. Next morning a new bid worth €100m in total arrived.
The world has gone crazy, we had better strikers in our youth team. I ordered my assistant to open a bottle of champagne, it felt like we had won the lottery"
[Via @pedromsepulveda]
Kumbe yamepigwa bhna