Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20220721_223837.jpg


Aisee mambo ndio yanaanza...

Tutaelewana.

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

YNWA
 
[emoji38][emoji847][emoji38][emoji847]Wale wachambuzi uchwara wa kibongo edo kumwembe na shafii dauda waanze tena kupost ujinga wao huko [emoji38][emoji847][emoji38]

Wale sijui hua wanachambua nini hataa
Wale ni wapuuzi tu...hakuna kitu pale
 
Huyu Nunez hamna kitu suala la muda afikishi goli 15 huyu
Mlianza kusema Nunez hamna kitu,NI flop hakuna atakachofanya,
Leo mnasema hafikishi goli 15[emoji1787][emoji1787]

Nasubiri kesho mtasema Nini?Ila tambua SINDANO NA UZI ZA KUSHONA HIYO MIDOMO ZIPO TAYARI[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
 
Ulitumika mfumo gani?

Kwa Salah kupo salama kweli dah wasipangwe pamoja hawa labda kwa dharula tu
Sijaangalia gemu zaidi ya highlights...

Wiki hii mpya wanahamia Austria kwa ajili heavy drills kwa kila mchezaji kupewa majukumu yake kutokana na mgumo husika... Watakua wako bizy sana na wakitoka huko kila mchezaji ataelewa anachokitaka Klopp ni nini.

YNWA
 
Kati ya Jones na Elliot nampa Elliot nafasi kubwa kukiwasha...

Kuna timu itapigwa na Nunez na wasijue imekuaje.

Binafsi bado MF inahitaji atleast 2 new signings (DM & CM) then we will be ready, ninakubali kutokukubalia na FSG & KLOPP.
In Klopp i trust, in him we are safe.
YNWA
Naona Sky tetesi kwamba Nunes wa Sporting Lisbon anatajwa kuhamia Liverpool dirisha hili... Ni suala la muda itajulikana.

YNWA
 
nunez atawashangaza wengi sana ni swala la muda tu. huyu dogo cavalho ni prime cotinho kabisa. sijui ni ln tulikuwa na movement za midfielder namna hii kutoka kati kukimbia na mpira mpk kutoa pasi ya mwisho. huyu dogo akitumika vizur atakuwa msaada mzur mnoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom