Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ki uhalisia Thiago ni Holding midfielder au attacking midfiefilde? Akiwa pale barcelona na Bayern munich alikuwa akicheza juu au chini?
Dogo Elliott msimu ulioisha alianza vizuri sema ile enjury ikaja kumtoa kwenye reli. Sasa nategeme kwa kiasi kikubwa kabisa atakuwa ni regular stater msimu huu. Huu msimu viungo wa kutegemewa kabisa ni Thiago, Fab, Elliott, na Keita. Watakao anzia benxhi ni jones, Calvalho, Ox na Mzee Milner kama kiraka.

Backline itakuwa ile ile. Robo, VvD Matip/Konate na TAA. bench wakakuwa Smikas, Gomez, Van Berg na Williams.

Attacker. Diaz, Jota/Nunez/Bobby na Salah. Hii timu ni ile ile. Mapungufu hapo ni Mane. Walioondoka wote walikuwa wanasugua bench. So Liverpool ni ile ile ya misimu miwili iliyopita. Hapa kinachotakiwa ni spirit tu kwa wachezaji. Mpaka hapo mpinzani wetu mkuu ni city.
 
Kwahiyo mwanangu Hendo ht benchi hapaswi kukaa??
 
View attachment 2295236

Jibu la MF Liverpool ndio huyu dogo.

Come on Julian fanya jambo huyu mwamba atue mapema sana dirisha hili.

YNWA
Niliona hii habari nikasema yes give us another nunes.
Ligi ya ureno kwa mbaaali inaanza kua new liverpool academy like southampton. Read one article kwamba Ward ana mawasiliano na uhusiano mzuri na vilabu vya huko, thats deals za huko hazichukui muda.
 
Kinatoka kitu kinaingia kitu.
Hii kauli aliitoa Carles Hilary akiwa BBC Swahili ulimwengu wa soka kipindi hicho. Ilikua ni moja ya mechi ya Liverpool ambapo alitolewa Torres akiwa amescore akaingia Kyut akascore.

Achana na hii mechi kwa sasa pale ofisi za Anfield, kimetoka kitu kimeingia kitu. Ametoka Michael Edward ameingia Julian Ward, like for like replacement.

YNWA.
 
🗓 #Siku hii leo mwaka 2018, @Alissonbecker alisaini mkataba na Liverpool .

🔴 184 appearances
👐 84 clean sheets
⚽️ 1 goal
🎯 2 assists
🏆 Premier League 2019/20
🏆 Champions League 2019
🏆 FIFA Club World Cup 2019
🏆 UEFA Super Cup 2019
🏆 League Cup 2022
🏆 FA Cup 2022

What a signing 🤯
 
Kituo kinachofuata
 
Attachments

  • IMG_20220719_115437_286.jpg
    IMG_20220719_115437_286.jpg
    95.5 KB · Views: 17
Nadhani ni kutengeneza ile winning mental kwa wachezaji. Maana hizi pre season wanashinda game zao zote. Wakitegemea kuamka na moto huo huo.
Watachosha wachezaji mapemaaa, ikiwezekana hata injury zitawahusu alafu league ikianza hawa ndio wakupiga goli 9 tena ili waamshwe kwanza wasiendelee kuota njozi nyevu
 
Niliona hii habari nikasema yes give us another nunes.
Ligi ya ureno kwa mbaaali inaanza kua new liverpool academy like southampton. Read one article kwamba Ward ana mawasiliano na uhusiano mzuri na vilabu vya huko, thats deals za huko hazichukui muda.
Yeah Julian ana network pana sana Ureno, Uhispania na Amerika ya Kusini na huko ndio kwenye wachezaji wanajielewq na kwa bei zenye ushirikiano...

Huyu dogo ana miaka 23 atakua mridhi mzuri sana wa Thiago pale nyuma akicheza dabo pivot na Fabinho ooh man bring himmmmm..

YNWA
 
🗓 #Siku hii leo mwaka 2018, @Alissonbecker alisaini mkataba na Liverpool .

🔴 184 appearances
👐 84 clean sheets
⚽️ 1 goal
🎯 2 assists
🏆 Premier League 2019/20
🏆 Champions League 2019
🏆 FIFA Club World Cup 2019
🏆 UEFA Super Cup 2019
🏆 League Cup 2022
🏆 FA Cup 2022

What a signing 🤯
Best signing by Klopp ever....

So far tangu Klopp atue sijaoni usajili bora kama Alisson akiwa namba 1 akifuatwa na VVD, Salah, Fabinho,Gini, Mane, Robbo, Matip nk...

Na jamaa amekwenda akashinda kimataifa bado tu apate kombe la Dunia akamilishe makombe muhimu kwake....

YNWA
 
Yeah Julian ana network pana sana Ureno, Uhispania na Amerika ya Kusini na huko ndio kwenye wachezaji wanajielewq na kwa bei zenye ushirikiano...

Huyu dogo ana miaka 23 atakua mridhi mzuri sana wa Thiago pale nyuma akicheza dabo pivot na Fabinho ooh man bring himmmmm..

YNWA
We need that guy, indeed. Klopp atateseka na atuumize sie mashabiki kwa kuwaamini keita, ox, jones, wakati keita na ox hao ni injury prone. Asione wataleta impact kubwa throught the season. One mid can change rythm totally, Refer Bruno alipotua united, he changed it.
Sign the lad.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom