Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ngojaa aje EPL uyo Salah atakiona Cha mtema kuni.
Salah tangu atue Liverpool anapiga goli 20+ kila msimu EPL sasa unadhani huyu babu mtarajiwa ataweza kumzuia Salah...

Niseme tu pale K kama ataleta mpira wake wa Napoli basi pengo la kisiki Rudiger wala hamtakiona maana dogo anajua sana kusoma gemu kwa utulivu sana.. Kuna kipindi Klopp alimtupia macho lakini bei ikawa kikwazo kabla ya corona.

YNWA
 
View attachment 2291504

Soooooon to be Kops favourite boy....

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Huyu dogo ndio atakua mchezaji wa kwanza Liverpool kulipwa £500k kwa wiki ama ndio atakua mchezaji wa kwanza kutoka EPL kuuzwa Real Madrid kwa £180m...

Go boy hit em hard...

YNWA
Dah kumbe analipwa parefu hivyo!
Sasa si bora wangemuongezea Mane [emoji19]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Nunez Ni kamari , Ni wale wachezaji one season wonder , Ngumu kuwapa alichokuwa anawapa mane

Wachezaji wa one season wonder Kuna mawili akaendeleza Moto au akarud kwenye default mode

Ukizingatia na Bei yake aliyonunuliwa lazima apandwe presha.

Ili afanye vzr Klopp aanze Ligi na

Salah jota Diaz

Akipata matokeo amuweke Nunez , amuingize kwenye timu taratibu Kama alivyofanya kwa Fabinho ,

Iwapo atakuwa anaanza na Liverpool kukosa matokeo ,bas atakuwa anacheza kwa presha
 
Attachments

  • Screenshot_20220716-054629~2.png
    Screenshot_20220716-054629~2.png
    18.5 KB · Views: 25
Dah kumbe analipwa parefu hivyo!
Sasa si bora wangemuongezea Mane [emoji19]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Hapana halipwi hata nusu ya hio nimesema atakua mchezaji wa kwanza kuja lipwa hivyo kama akijituma vyema uwanjani mpaka inafika 2025 Salah anasepa basi huy7 dogo atakua tayari kashakua tegemezi kama alivyo Salah sasa.

Hahahaha kwa sasa Nunez analipwa kiduchu sana hata £160k kwa wiki hajafika labda kwa bonuses..

Mane na Origi ilibidi wasepe ili mshahara wao ndio utue kwa Salah.. FSG hawajawai kubahatisha haya mambo wanajua namna ya ku fix mambo wanavyotaka wao.

YNWA
 
Liverpool ndio wamefunga usajiri nini Kama kawaida

Uza Kisha nunua😄😄

Walioingia
Biashara ishaisha labda kama Klopp baada ya hizi gemu za pre season ataona hajaridhiswa anachokiona ataweza pengine kubadili msimamo na kingine pia Ox Chamberlain jana kaumia tena 🙆🏿🙆🏿🙆🏿hivyo pengine itamsukuma kufanya jambo sokoni...

YNWA
 
Huyu anaenda kuwa legend wa city hata akistafu ataendelea kukaa viunga vya etihad anakula nusu mshahara mpaka mwisho wa Dunia ..[emoji23]

Shukran za dhati zimuendee Manuel Pellegrin kwa kuona mauaji aliyokuwa anafanya Wolfsburg na bila kupepesa macho kutupia £75 million kunasa saini ya KDB ....!

Pep mwenyewe anamjua ,aliwafanya kitu mbaya buyern kwenye uefa wakati yupo Wolfsburg,hapo ndio nilipomjua kelvin ,na nilikuwa namuita albino [emoji12][emoji23]
 
Salah tangu atue Liverpool anapiga goli 20+ kila msimu EPL sasa unadhani huyu babu mtarajiwa ataweza kumzuia Salah...

Niseme tu pale K kama ataleta mpira wake wa Napoli basi pengo la kisiki Rudiger wala hamtakiona maana dogo anajua sana kusoma gemu kwa utulivu sana.. Kuna kipindi Klopp alimtupia macho lakini bei ikawa kikwazo kabla ya corona.

YNWA
Uyo Salah bila Mane sawa Origi tu ..Izo goli 20 msimu atazisikia kwenye Bomba. Saivi Liverpool pale mbele sijui mutamsimamisha nani Tena hahaha ..front three yenu itakuwa na mabutu kibao, Mane hayupo, Salah atafloap ..yule firminho hamna kitu mule ..huyu Nunez tumepigwa mchana kweupe, Ni Lukaku mweupe. Sasa Nani wa kuwabeba? Mutaweza kubehave na title contender kweli? Mimi naona kabisa mutakuwa timu ya kawaida Sana pengine musiiweze kumaliza ligi nafasi za juu.
#CFC💙💙💙
 
Hapana halipwi hata nusu ya hio nimesema atakua mchezaji wa kwanza kuja lipwa hivyo kama akijituma vyema uwanjani mpaka inafika 2025 Salah anasepa basi huy7 dogo atakua tayari kashakua tegemezi kama alivyo Salah sasa.

Hahahaha kwa sasa Nunez analipwa kiduchu sana hata £160k kwa wiki hajafika labda kwa bonuses..

Mane na Origi ilibidi wasepe ili mshahara wao ndio utue kwa Salah.. FSG hawajawai kubahatisha haya mambo wanajua namna ya ku fix mambo wanavyotaka wao.

YNWA
Oh kumbe!

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja ligi ianze OllaChuga Oc aanze na mkwara humu anachukua ligi January 2023 [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...

YNWA
Ollachuga ameanza vitisho mapema sana[emoji1787]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Uyo Salah bila Mane sawa Origi tu ..Izo goli 20 msimu atazisikia kwenye Bomba. Saivi Liverpool pale mbele sijui mutamsimamisha nani Tena hahaha ..front three yenu itakuwa na mabutu kibao, Mane hayupo, Salah atafloap ..yule firminho hamna kitu mule ..huyu Nunez tumepigwa mchana kweupe, Ni Lukaku mweupe. Sasa Nani wa kuwabeba? Mutaweza kubehave na title contender kweli? Mimi naona kabisa mutakuwa timu ya kawaida Sana pengine musiiweze kumaliza ligi nafasi za juu.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji174]

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom