Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

FB_IMG_1657825047780.jpg
 
Wapuuzi tu..... mechi moja ya majaribio maneno yanawatoka Kama wamelishwa kanda.....mane alikuwa na umuhimu ila huwezi kuniambia Kuna kitu Cha utofauti Sana ambacho alikuwa anaofer ambacho Diaz hawez kutupa

Kuhusu Nunez analijua goli na ni mzuri kwenye kunyag'anya mipira pia so Mambo yatakuwa mazuri soon tu

Kuhusu dogo carvalho yule ni coutinho mtupu so maplastic fans inabid waendelee kulialia tu huku mtandaon
Dogo anajituma kuliko huyo ulomfananisha
 
MR BINGO.
Ni pressure zetu wapenzi wa hii timu, ukiangalia wapinzani wanasajili tu ndo kabsa pressure inapaa juu. Kwa maoni yangu mahali pa kuboresha ni idara ya kiungo na tutakua salama.
Suala la muda Klopp ameelezea signings zake vyema na mpango wake wa kubadili mfumo.
Bosi kasema hapo kati an Eliot na Chambali tusiwe na shaka
 
Moja ya maswali aliyoulizwa kwenye interview leo huko Singapore ni kuhusu usajili.
Akasema labda mchezaji atake kuondoka.Na mpaka sasa hakuna aliyetaka kuondoka hivyo hakuna usajili wa kiungo. Klopp anasema ana 50% ya mchezaji kufanya vizuri.

Ingia Liverpoolfc.com kajisomee.
Mahali naweza kuacha alama ya ulizo kwa J.K.N ni idara yake ya kiungo. Hasa hasa DM wa kusaidia na faby na atakayemrithi, je haofii injuries kwenye idara hiyo itamuangusha? Labda kama yupo tayari kufanya rotation (alizungumzia jana japo indirect).
Curtis Jones
Harvey Elliot
Taylor Morton watapata game time time ya kutosha next season.
FA cup and Carabao cup (Taki and Origi's cups) tutarajie U-23 wakipewa nafasi na few senior.
Best of luck to us.
YNWA
Unakubali Harvey Elliot ni kiungo ategemewe?
 
Nunez tumepgwa wazee, bora tukampgie Mane magoti arudi kuokoa jahazi. Msimu ujao liva naiona nafas 10

Hizo kelele tumeshazoea,ingekuwa beki kaondoka sawa utasema sasa tutakuwa uchocholo.

Hazitutishi hizo kelele.
 
Mimi hofu yangu kwenye Midfield ni upande wa DM tu kama fabinho akipata majeraha au akichoka hatuna like for like replacement yake lakini kwingine sina hofu sana.
Yupo Henderson duuh..

Yupo Morton....

Yupo Milner...

Sasa pata picha hao hapo tukutane na Brighton au Spurs...

Klopp hakukosea kwenda mazima kwa Tchouameni alijua fika waliopo sio tegemezi mia kwa mia lakini baada ya kumkosa Tchouameni mwenyewe akaona isiwe tabu abadili mfumo kutoka 4 3 3 na sasa kwenda na 4 2 3 1...

Ina maaana

4 Trent Konate VVD Robo
2 Fabinho Thiago
3 Diaz Jota Salah
1 Nunez

Bado mapema kutoa hukumu kuhusu huo mfumo kwani hata mechi ya Bangkok alianza na 4 3 3.

YNWA
 
Msimu ujao mutamkataa Klopp..huyu jamaa Ni Mwinyi Zahera mweupe...
😂 😂 😂 😂 😂 Wewe mwenyewe ulitonywa humu Lukaku(@£97m+) umepigwa hukuamini zaidi ya ulikomaa ni Chelsea bingwa teh teh teh labda ubingwa wa play station.....

Vipi Ronaldo aka CR7 anatua lini Chelsea aje kulinda rekodi magoli yake ya Uefa eti Messi asiyapunguze 😂😂😂...

YNWA
 
Yupo Henderson duuh..

Yupo Morton....

Yupo Milner...

Sasa pata picha hao hapo tukutane na Brighton au Spurs...

Klopp hakukosea kwenda mazima kwa Tchouameni alijua fika waliopo sio tegemezi mia kwa mia lakini baada ya kumkosa Tchouameni mwenyewe akaona isiwe tabu abadili mfumo kutoka 4 3 3 na sasa kwenda na 4 2 3 1...

Ina maaana

4 Trent Konate VVD Robo
2 Fabinho Thiago
3 Diaz Jota Salah
1 Nunez

Bado mapema kutoa hukumu kuhusu huo mfumo kwani hata mechi ya Bangkok alianza na 4 3 3.

YNWA
Naona Jota tayari kapata majeruhi, naombea tu huo mfumo wa 4231 u click mapema. Ile 433 kuna baadhi ya timu zimeshajua namna ya kutukabili.
 
Naona Jota tayari kapata majeruhi, naombea tu huo mfumo wa 4231 u click mapema. Ile 433 kuna baadhi ya timu zimeshajua namna ya kutukabili.
Hilo lipo wazi na hata makocha wanasema sasa kuna umuhimu wa kubadili mfumo kutokana na kikosi kilichopo...

4 3 2 1 ya Klopp akiwa Dortmund ilivyokua inafanya kazi.

Screenshot_20220715_135905.jpg


Screenshot_20220715_135816.jpg

Huu mfumo aliwai kuutumia Dortmund wakashinda Ligi 2011 na 2012 hivyo sio mgeni kwa Klopp kama endapo wachezaji watauelewa mapema itakua jambo njema kwetu na pia sio mara ya kwanza kwa Klopp kutumia huu mfumo hapa Liverpool actually baada ya Coutinho kuodoka naona ndio alizidi kukomaa na attacking 4 3 3.

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom