Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Umetumia kigezo kipi kumpa Hallaand huku Darwin akikosa.Darwin Nunez ,One season wonder ,ngoja epl ianze ,tumuone ,Kwa Halland Sina Shaka ,
YNWA
Umetumia kigezo kipi kumpa Hallaand huku Darwin akikosa.Darwin Nunez ,One season wonder ,ngoja epl ianze ,tumuone ,Kwa Halland Sina Shaka ,
Maneno uliyoandika hapo juu ni ya mihemko na hakuna uhalisia kabisa eti ...Mfumo wa mishahara wa FSG na Klopp unatuepusha na mtego mkubwa wa pesa. Muundo umeundwa kwa busara na ni mzuri kuliko watu wengi wanavyofikiria. Naunga mkono. Mtego unafanya kazi kama hii - Vilabu vingine vilifanya iwe kawaida kumlipa kila mchezaji kana kwamba ni Pele na Maradonna. Grealish huchukua 300k / wiki na kukaa kwenye benchi. milioni 45 kwa Kalvin Phillips kukaa bench karibu na Grealish. Neymar ananunua helikopta. Halafu Mbappe analipwa 960k/wiki. Na Bayern inampa Mane 390k/wiki kucheza kwenye ligi ambayo wameshinda mara 10 mfululizo. Ukifuata bei hizi na kuanza kulipa kwa viwango hivi, utaanguka kwenye balsa kubwa. Kwa sababu mwakani watalipa 400k/wiki kwa Declan Rice...na kisha 500k/wiki kwa Nkunku.
Hatimaye utakuwa mufilisi muda mrefu kabla salio lao la benki hata kuvuja jasho.
Barcelona na Man United ziliangukia kwenye mtego huu. Katika miaka 5, walitoka kuwa washindani wa UCL hadi Ligi ya Europa. Na wakati huo huo Sisi tulitoka Ligi ya Europa hadi kwa Washindani wa UCL kwa chini ya nusu ya bajeti yao. Tuamini tu mfumo wa Mishahara wa timu yetu hauna walakini wala matatizo. Mchezo wa Kandanda, nunua mchezaji mzuri na ufundishe kipaji chake kichanga kikuwe na acheze kwa bidii...hiyo ndiyo njia ya busara. Liverpool.![]()
City alistruggle miaka mingapi?Maneno uliyoandika hapo juu ni ya mihemko na hakuna uhalisia kabisa eti ...
Kalvin Phillips million 45 kukaa bench ..pesa karibu na ya grealish ?
Unauhakika huyo Darwin wa Millon 80 mlionunua hawezi kukaa bench ?
Unasema liverpool hawatumii pesa ,wakati wapo wanaingia wenyewe kwenye huo mfumo wa kuspend tu....
Yaani kumyima mane mshahara mnasema mnabana matumizi wakati hizo hizo pesa mnawalipa kina Allison,VVD,ubaguzu ? Kama sio ubaguzi ni nini
Kiufupi hata hiyo Liverpool kwa Sasa anatumia pesa nyingi tu ,na mishahara mikubwa anawalipa wachezaji ,hao fsg hata wao washaona wakizubaa wanarudi miaka 30 mingine ya kustruggle...
Et timu haina matumizi wakati huo huo inaenda kubargain kununua mchezaji wa 80million +City alistruggle miaka mingapi?
Kwanini wamepigwa? Kuna shida gani kuwa muingereza?Kalvin Philips pale kuna watu wamepigwa waingereza ni waingereza tu
Hiv Raheem dau bei yake ngapi kwa sasa?Klop na watu wake waende City pale wakabebe Raheem Sterling, huyu ni mbadala wa Mane na anafit kabisa kwenye mfumo wa Liverpool, umri wake miaka 27 yupo kwenye peak ya kiwangochake, haitaji kupewa muda wala kuzoea mazingira
paund 45mHiv Raheem dau bei yake ngapi kwa sasa?
Na Liverpool ilimuuza kwenda City Kwa kiasi gani Cha pesapaund 45m

Msimu ujao atapata injuries za mara Kwa maraHappy to see Egyptian king stays.
Fsg wamefunga macho na kutujali mashabiki. Kama Salah na Mane wangeondoka msimu huu hope next season tungehitaji 15 matches kushinda with 2+margin goals in all competition in a raw ili kuleta hofu kwa opponents.
Atleast a DM & CM then tusubiri 2022/2023,
Nimefurahi kwa Mo Salah kupata mkataba mpya kutumikia kops.