Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,448
- 32,877
Captain Marvelous.
Naam kop. Nimekupata kwa uzuri. Heard Keita amekata mkataba mpya bado hazijawa official tusubiri.
Ishu ya bonus ndipo fsg wanawawezea wachezaji moja ya klabu ina bonus nzuri na nyingi LFC tupo. Ila bado nahisia Klopp anataka mtu wa kazi (MF) kuongeza quality over quantity.
Kwa kua bado dirisha li wazi tuendelee kusubiri.
Yeah Julian bhana kwenye majadiliano naona ameiva amepata somo sahihi kutoka kwa Edwards.
Hilo la MF lipo wazi lazima apatikane mmoja ambe atasaidiana na Fabinho maana kwa sasa like for like sub ya Fabinho ni dogo Morton ambae bado hajaiva kabisa anahitaji miaka kadhaa kukaa sawa.
Duuh hii dunia ina maajabu yaaani Keita huyu huyu mzigo na mzito vile ndio akatae mkataba mpya aisee kwa mpira upi haswa anaocheza yaaani huyu wamtoe aidha Inter Milan tutoe na ela tumpate Barella au wamtoe Juventus tumchukue Rabiot au wamtoe Roma tumpate beast Nicolo Zaniollo yaaani huyu Keita asije jifanye yeye na Salah ni sawa.... Huyu ni wa kuuzwa mapema sanaaaaa.
YNWA