Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa mido tuliyonayo ya trip sokoni trip gereji ukimtoa labda fabhino...hatuna chetu wakuu....hivi unamuachaje Mtu kama minamino na origi halafu unabakiza wazee..halafu tunajidanganya kwamba kloop ndio mungu mtu kila siku atapatia.
 
Aisee umesahau na huyo Fabinho sasa amekua semi pancha nahisi kwa sababu ya 'kutumika' sana na ukitazama Klopp alivyokomaa kwa Tchouameni utaelewa kwa nini..

Tetesi ni kwamba ujio wa Fabio Carvalho na Darwin Nunez utabadili pia mfumo kwenda 4 2 3 1 sasa pengine alichoona Klopp kwa huyu dogo Fabio kwenye huo mfumo ni kikubwa hivyo tuwe na subira ndugu.

Kwa MF waliobaki kukomaa na 4 3 3 itakua ni kujimaliza maana 4 3 3 pressing sio wachezaji wetu pale kati ambao tunavyoshambulia wanacheza kama mabeki watatuumiza maana wenyewe kwanza umri Henderson na Thiago itakua 30+ hivyo hata umakini na intensity ita drop, mishe za EPL sio za kitoto.

Klopp kukomaa eti mpaka June 2023 ndio ampate Jude Bellingham ni kujimaliza wakati wapo wachezaji wazuri tu huko Spain, France, Ureno nk wa bei chee.

Kwa vile dirisha lipo wazi ngoja tuone.

Msimu ujao utakua really technical ukitazama usajili wa Arsenal na Tottenham unavyokwenda utaona itakua ligi ni ngumu balaaa.

YNWA
 
Screenshot_20220702_084641_com.android.chrome_edit_26246192748077.jpg

350k kwa wiki. Kazi kwake sasa atuletee ma good time ya kutosha.

YNWA
 
Liverkuku akicheza mashabiki wake duniani kote wanatapika na kuharisha kama kuku mwenye kideri.

Nyinyi Watu Nikikumbuka mbwembwe zenu kabla ya Chelsea kuuzwa huwa nacheka sana 😂😂

Tuliwaambia Tajiri yoyote wa Kiingereza na Kimarekani hawezi kuwa kama Abramovic au Mwarabu kwenye kumwaga hela mukabisha ona sasa 😂

Ndoto zenu zilikuwa kina Haaland na Masuper Star wengine ona sasa munavyokula kwa Macho 😂😂

Siku tajiri wenu atakapotangaza sera za 'Sell to Buy' lazima ulie kwikwi 😅
 
Kwa mido tuliyonayo ya trip sokoni trip gereji ukimtoa labda fabhino...hatuna chetu wakuu....hivi unamuachaje Mtu kama minamino na origi halafu unabakiza wazee..halafu tunajidanganya kwamba kloop ndio mungu mtu kila siku atapatia.
Hapana mkuu sio Klopp ni Mungu mtu, ila bila yeye tusengekua hapa tulipo. Kuwaamin watu kama TAA/Gini/Robbo/Origi/Kelleher na u-23 na kuwakuza vipaji vyao kiasi cha kushinda na mtu kama pep mwenye ana 22 players wanalinga uwezo sio jambo la kutompa heshima anayostahili, usichukulie poa, vvd salah bobby mane were no body before they met JK. Carragher aliwahi kusema msimu jana "Klopp akiondoka FSG hawataamin ni Liverpool hii hii wanayoona bora".

Kumbuka Klopp ni mpendekezaji tu, wenye maamuzi ya kutekeleza ni FSG. Hivi haujahisi kama Klopp aliwaambia it's ok Mane ameondoka na Salah aondoke msimu huu? No no no hatutakua washindani isipokua wapinzani.
Kwenye mid nipo na wewe tupate DM & CM atleast.
 
Sawa chief ngoja tusubil tuone watatuletea nini hawa fsg..
 
1. Klopp kukomaa eti mpaka June 2023 ndio ampate Jude Bellingham ni kujimaliza wakati wapo wachezaji wazuri tu huko Spain, France, Ureno nk wa bei chee.

2. Msimu ujao utakua really technical ukitazama usajili wa Arsenal na Tottenham unavyokwenda utaona itakua ligi.

Mkuu hapo kwenye 1, nawaza kuna players wengi sana huko Italy, Portugal na Spain quality tu, why tusiende huko kuwapata wa cheap price, kama tatizo ni bei kubwa sokoni?
Sijui lakini i can smell JK anaumiza kichwa kuelekea 2022/2023 anajua weakness yake ilikua upande wa RB ST na MF, atleast RB & ST somehow ata solve hapo MF. doh.! kigugumizi. Ujue asiposajili summer hii atleast 2 MF apart from FC. Next summer atahitaji 2-4 MF. Hendo Thiago and Millie age and injury prone, plus Millie atastaafu tu Ox Keita and Bobby wataondoka. Je fsg wataweza kutoa pesa yote kwa ajili ya replacement? It's now
No. 2, What i can say, its a tough season ahead.
Let's wait FSG.
 
Captain Justine hawa matajiri wetu ni waumini wa buy to sell pale inapotokea nafasi imagine tayari tetesi eti Salah kaongezwa mkataba ili asije sepa bure wakitaka kumuuza eti wanaona kama Lewandoski anauzwa £40+ basi na Salah wanaona ana nafasi ya kuja kuuzwa huko mbele... Well ni tetesi zinasema hivyo na ukitazama FSG wanavyo operate usije shangaa ukawa ndio ukweli...

Sasa hilo la MF ni kwamba Klopp alikua na mpango kununua Tchouameni ila sasa dogo kawachagua Real Madrid hivyo Klopp na jopo lake wakaamua wawekeza kwingine mpaka pale watapata mbadala mwenye ku fit wanachokitaka kuanzia umri na bei ya kununua... Inachokitaka Klopp kwa sasa ni ni kujenga kikosi cha miaka 7 mbele mpaka 10..tazama tu usajili wa Diaz na Jota 25yrs..TAA, Konate, Darwin, Jones over 21 yrs... Fabio, Elliott almost 20yrs.. Next step sasa ni kuboresha MF na tetesi zinasema huu mpango unakwenda kwa hesabu kali sana kwamba kila dirisha wapate mchezaji wa under 25yrs...

Hao wa huku Spain au Ufaransa ndugu ni suala la Klopp atoe kibali lakini naamini idara ya scouting inawapa taarifa sahihi kulingana na mahitaji ya kikosi..

Nadhani kutokana na sasa sub kua 5 Klopp anaona hawa wazee atawalinda vyema kutumia vijana Elliott, Fabio na Jones hivyo pengine kutonunua ila mradi kununua.. MF msimu ujao wapo Ox, Keita kama hawajapata soko, weka Milner, Fabio, Elliott, Henderson, Fabinho, Thiago hivyo imejaa haswa kasoro sio quality mbali ni quantity....

Keita mkuu tegemea kuona akipewa mkataba mpya.

Hii ndio Liverpool inakushangaza muda wote usiyoyatarajia aisee.

kwa ninavyowajua ma boss wa Liverpool huo mkataba mpya wa Salah tayari ni usajili mpya kwao, tusitegemee usajili mwingine, msimu ujao ni kuendelea tuu kuwa kwenye kivuli cha City maana Mido zenyewe maji kupwa maji kujaa
 
Klop na watu wake waende City pale wakabebe Raheem Sterling, huyu ni mbadala wa Mane na anafit kabisa kwenye mfumo wa Liverpool, umri wake miaka 27 yupo kwenye peak ya kiwangochake, haitaji kupewa muda wala kuzoea mazingira
Chelsea wamesha mchukua huyo, ila ukweli huyo ni mbadala wa mané
 
kwa ninavyowajua ma boss wa Liverpool huo mkataba mpya wa Salah tayari ni usajili mpya kwao, tusitegemee usajili mwingine, msimu ujao ni kuendelea tuu kuwa kwenye kivuli cha City maana Mido zenyewe maji kupwa maji kujaa
FSG bhana akili nyingi sana

😂 😂 😂 Wenyewe wanasema wapo kwenye laiti traki timu isifilisike wala kujikuta kwneye red wire upande wa ela... Ki ufupi huu mfumo wa FSG ni wa kuigwa na wengi kwa vile wenyewe wanaacha klabu igharamie players welfare yenyewe bila kuadhiri mambo mengine...

Tangu anguko la Barcelona litokee limetoa fundisho kwamba kununua wachezaji ghali kama Coutinho, De Jong, Malcom, Gomes, Dembele, Griezman, Turan nk na kulipa mishahara mikubwa bila uwiano wa kipato na ushindi wa makombe ni janga kubwa kwa mustakambali wa klabu yoyote..

Ku uhalisia tukumbuke bila FSG kuona fursa na kuinunua hii klabu tulikua tunaelekea shimoni chini ya akina Hicks, japo hua haturidhiki sana na spidi yao sokoni kuedana na mshindani wetu pumped by oil money Kipara lakini wamejitahidi sana kuweka stability ya klabu kujisimamia yenyewe bila kuhutaji mikopo kutoka kwa wamiliki ama ma benki...
Wote tunajua vyema corona ilivyozichapa hizi timu na kuziacha hoi lakini hesabu za tangu mashabiki warejee uwanjani kuna dalili njema ku recover na kurudi kwenye njia salama ya kipato...

Ishu ya Salah waligomea na wakala wake 500k kwa wiki na dogo alikua tayari kutimkia Chelsea endapo FSG wasingelegeza structure yao ya mishahara.. Sasa kilichotokea ni kwamba mshahara wake umekua pinned kwenye bonus kibao zikiwemo na image rights, performance based bonuses, trophies won na kadhalika.. Hao ndio FSG hawajawai kushindwa jambo wakiamua hata iweje aisee endapo Salah ataedelea na fomu yake kabla ya Afcon na ushindi wa makombe basi kuna uwezekano mshahara ukafika 500k kwa wiki.. Hii sasa ina wa pin VVD nk kwenda kumwambia Klopp wanataka nyongeza zaidi maana pale klabuni Salah peke yake anauza zaidi asilimia 40 ya mauzo ya jezi hivyo na hii imewekwa kwenye kipengele cha mshahara...

Muda utasema kama Salah ataedelea kua influential tena ama atatulia kula zake bata na mapene anayo sasa.

YNWA
 
Captain Marvelous.

Naam kop. Nimekupata kwa uzuri. Heard Keita amekata mkataba mpya bado hazijawa official tusubiri.

Ishu ya bonus ndipo fsg wanawawezea wachezaji moja ya klabu ina bonus nzuri na nyingi LFC tupo. Ila bado nahisia Klopp anataka mtu wa kazi (MF) kuongeza quality over quantity.
Kwa kua bado dirisha li wazi tuendelee kusubiri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom