Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20220622_213902.jpg

YNWA
 
Nicolo Barella - Liverpool could be set to offer Naby Keita in exchange for Inter Milan midfielder Barella (Daily Express, June

Kama ni kweli wasichelewe hii dili chap tumalize mapema sana Nicolo atue kwa ajili ya pre season..

Keita Inter panamfaa zaidi mishe za EPL kashashindwa huyu.

YNWA
 
Hapana Carrol alikua one season wonder na Dalglish nii muumini wa kujenga kikosi kwa kutumia Great Britain au UK players hivyo alifeli kocha ndio maana FSG hawakua na namna zaidi ya kupumzisha...

Darwin Nunez ni generation talent yaaani next big thing from Uruguay..

Darwin =Surez+Cavani.

YNWA

Uyo Darwin ni Lukas Perez tu hawana tofauti
 
Suala la Nane iacheni tu maana hata ukiijadili hakuna unachokipata ila ukweli MANE nimeumia sana kuondoka kwake

1) Mane ni shujaa haogopi kuhatarisha usalama wake timu ipate matokeo

2) Ile kadi nyekundu dhidi ya City mwamba hakustahili ila basi tu

3) Moyo wa Furaha na mpenda amani na utulivu mane ndoa mchezaji pekee pale LIVERPOOL ambaye hana chuki na wote anaweza kuchukia kwa mda ila ukimfurahisha mane ana moyo mweupe sana naona hiyo kazi walikuwa wanafanya Milner na Firmino na Klop walikuwa na mane kila mda

4) Mchezaji haswa yaani mane ni mpambanaji haswa kuliko yoyote pale LIVERPOOL hakuna atakayemfikia namfananisha na Captain Gerrad Sijui kama kuna siku kama alipewa hata kitambaa cha Unahodha ila Salah na Continho Tuliwabembeleza asee mwisho akatutema

5) Mazingira ya Kazi yake anastahili kupewa Mshahara Mkubwa kwakweli nyuma yake kuna Vingi ambavyo vinamtegemea Jamii yake Kule Senegal hakika anastahili mshahara mzuri sana

6)Tushukuru sana kwa upendo wake hakika mane kwa ile misimu ambayo tumekosa ubingwa kwa pointi moja alipambana sana

MANE MANE MANE MANE MANE
Sadio Mane ❤️❤️
 
Sadio Mane
Mane anafanya nianze kuangalia ligi ya ujerumani wallah .....ndio hivyo Liverpool ni timu yetu pendwa ila hili swala la Mane naona Kila mtu limemgusa ila poa tu maisha yanatakiwa yaendelee...
 
Suala la Nane iacheni tu maana hata ukiijadili hakuna unachokipata ila ukweli MANE nimeumia sana kuondoka kwake

1) Mane ni shujaa haogopi kuhatarisha usalama wake timu ipate matokeo

2) Ile kadi nyekundu dhidi ya City mwamba hakustahili ila basi tu

3) Moyo wa Furaha na mpenda amani na utulivu mane ndoa mchezaji pekee pale LIVERPOOL ambaye hana chuki na wote anaweza kuchukia kwa mda ila ukimfurahisha mane ana moyo mweupe sana naona hiyo kazi walikuwa wanafanya Milner na Firmino na Klop walikuwa na mane kila mda

4) Mchezaji haswa yaani mane ni mpambanaji haswa kuliko yoyote pale LIVERPOOL hakuna atakayemfikia namfananisha na Captain Gerrad Sijui kama kuna siku kama alipewa hata kitambaa cha Unahodha ila Salah na Continho Tuliwabembeleza asee mwisho akatutema

5) Mazingira ya Kazi yake anastahili kupewa Mshahara Mkubwa kwakweli nyuma yake kuna Vingi ambavyo vinamtegemea Jamii yake Kule Senegal hakika anastahili mshahara mzuri sana

6)Tushukuru sana kwa upendo wake hakika mane kwa ile misimu ambayo tumekosa ubingwa kwa pointi moja alipambana sana

MANE MANE MANE MANE MANE
Sadio Mane
Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho.
 
Laana ya kutokumthamini Mane itatutafuna sana.
 
🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿Punguza hasira Miss Liverpool...

Sie ni mashabiki tu wenye maamuzi wako zao hukooo Free World ndio wanasema nani abaki nani aodoke.

Mane kaodoka kwa heshima kubwa sana kuanzia kwa mashabiki na ma kocha, wapishi yaani wafanya kazi wote pale klabuni na wachezaji wenzie hakuna mwenye maneno ya kukashfu huyu dogo zaidi ya admiration kwa sababu alikua super professional na a humble boy hajawai kuweka maslahi yake binafsi zaidi ya maslahi ya Timu hata pale wakala wake alivyomjuza Bayern wana ofa nzuri sana kwake hakuonyesha kuyumba zaidi ya kujituma zaidi kuusaka ubingwa wa UCL na Epl.

In simple words... He is a LEGEND.

YNWA
 
Punguza hasira Miss Liverpool...

Dah
Mane wetu

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Hello kops.
Kwa kitambo sasa sijawa huko. Leo nimechungulia huku niwasalimu.

Tumekua na usajili wa kasi sana season hii. Haya ni matakwa ya JNK mwenyewe kuanza na pre-season akiwa na wachezaji wapi.

Naona JK aliainisha mapema mahitaji yake na aliona mapungufu makubwa kwa kupitia tu fainali ya CL may 28.
TAA side was his (JK) weakness. Kudos kwa Courtoirs alifanya weakness hii ionekane dhahiri. Angeruihusu magoli 3 kati ya zile 9 clear saves TAA asingelaumiwa kwa kuacha space kubwa vile (sio kosa la kulaumiwa la ufundi)

Pamoja na yote bado naona mahitaji ya wachezaji prolific na varsetile kwenyd mid watatu. DM CM AMF. Nunez na Carvalho bado hatujaona kutuaminisha ila we expect alot from them.
Hendo Thiago age na injury Fabinho hatoshi season nzima peke yake as holding. Still we are in the market kusubiri offloaded, ila kwa mujibu wa vyanzo mbali mbali ndan ya Liverpool, usajili ndo umefungwa mpaka next summer.
nawaza kwa mid yetu will we compete and bring major honors to ANFIELD?

YNWA.
 
Laana ya kutokumthamini Mane itatutafuna sana.
Hakika Mane ametuheshimisha sana ila wale wamarekani wajinga sana wajifanya wachumi sana kumbe hata kwenye 30 bora ya matajiri wa dunia hawapo ni mauzauza we ngoja andoke Klop watajua hawajui kumpata mtu ambaye anakutumikia kwa moyo wake wote afu umchezee chezee hakika akiondoka hutompata tena Ndani ya Liverpool ni wachezaji wachache sana ambao wanaishi kwa furaha MANE , Firmino, Klop , Naby, Fabinho , wengine wote likitokea la kutokea wanasahau yote yaani tunaenda pabaya sana mafanikio kidogo tunaanza kuletea dharau watu muhimu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom