Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,566
- 235,387
Huyu ameniuma zaidi[emoji3064]Hivi kipindi kile Xavi Alonso anaodoka hukua umeanza kuishabikia Liverpool.
YNWA
Nampenda huyu kaka.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Huyu ameniuma zaidi[emoji3064]Hivi kipindi kile Xavi Alonso anaodoka hukua umeanza kuishabikia Liverpool.
YNWA
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Amin.Huyu jamaa moja kwa moja ni Mbinguni.
Huyu Mbinguni lazima tukutane.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Hakuna namna tukumbaliane na hali ilivyo sasa... na alikokwenda azidi kujituma na mafanikio kama alivyopata Liverpool na kule atapata zaidi.Huyu ameniuma zaidi[emoji3064]
Nampenda huyu kaka.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kutoa ni moyo na wala si utajiri.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Amin.
Anajua alikotoka huyu dogo na anajua anakokwenda.
Kama aliyanya hayo yote kwa mshahara wa FSG sasa kule BM anatafanya zaidi.
YNWA
Natamani niwatukane,au basi![emoji3064]Hakuna namna tukumbaliane na hali ilivyo sasa... na alikokwenda azidi kujituma na mafanikio kama alivyopata Liverpool na kule atapata zaidi.
FSG ni waoga wa kufilisika hawana jipya...
Nimesoma eti wanaona Salah ata perfom zaidi akiwa 30+ kuliko Mane yaaani kwamba Mane angepungua kiwango huku akichukua mshahara zaidi, najiuliza huo uwezo wa hicho kipimo hakikufanya kazi wakati wanampa Henderson mkataba yaaani kwa FSG maajabu hua hayaishi.
YNWA
Kwa kweli ni mnyenyekevu mno kwa vitendo tu inatosha... Wachezaji kadhaa waliohojiwa wanasema ni jamaa wa watu hana makuu ana heshimu wakubwa na wadogo..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Hata mimi nikawa najiuliza mbona jamaa haoi[emoji1787]
Mungu amjaalie apate mwanamke wa kufanana naye.
Jamaa yupo Humble mno,, mwanamke atakayempata then,atakuwa the luckiest woman duniani.
Huyu jamaa nampenda,kuna namna anafanana na kaka yangu kimuonekano.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ebu waache hawa tunao na timu hawauzi.
Yaani huyu jamaa nisipomuona Mbinguni nitaandamana[emoji1787]Kwa kweli ni mnyenyekevu mno kwa vitendo tu inatosha... Wachezaji kadhaa waliohojiwa wanasema ni jamaa wa watu hana makuu ana heshimu wakubwa na wadogo..
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ebu waache hawa tunao na timu hawauzi.
Ni kama vile una boss mnoko balaa lakini kazi unaitka mshahara unautaka mpaka pale unapopata kazi kwingine ndio unasepa zako haha sasa ndio FSG.
YNWA
Jamaa washamba sana.Laiti kama mane angekuwa ni Muingereza angethaminiwa mnooo. Sijui kuhusu uzungu na umarekani kusini.
Tutakuwa tunagonga cheers [emoji1635] tuHuyu jamaa moja kwa moja ni Mbinguni.
Huyu Mbinguni lazima tukutane.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kabisa.Kutoa ni moyo na wala si utajiri.
Jamaa ana Moyo wa kutoa.
Mungu hupima uaminifu kwa vitu vidogo,,Usipokuwa mwaminifu kwa kidogo unachopata, huwezi kuwa mwaminifu katika kikubwa pia.
Jamaa ataenda kufanya zaidi na zaidi,maana tayari roho ya utoaji ipo moyoni mwake.
Na hii ndiyo dini safi,isiyo na taka mbele za Mwenyezi Mungu..kuwajali wahitaji,masikini,yatima na wote wanaohitaji msaada.
Bwana ambarikie na Kumlinda siku zote.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂😂🤭🤭🤭🤭🤭Usipomuona huko ujue umekosea njia 😂😂😂😂😂😂....Yaani huyu jamaa nisipomuona Mbinguni nitaandamana[emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Itabidi nigeuke kuangalia vizuri kama ni penyewe.😂😂😂😂😂😂🤭🤭🤭🤭🤭Usipomuona huko ujue umekosea njia 😂😂😂😂😂😂....
YNWA
AminKabisa.
Kwa kujituma kwake mafanikio atapata.
YNWA
Kabisa yaani.Tutakuwa tunagonga cheers [emoji1635] tu