Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Hakuna namna tukumbaliane na hali ilivyo sasa... na alikokwenda azidi kujituma na mafanikio kama alivyopata Liverpool na kule atapata zaidi.

FSG ni waoga wa kufilisika hawana jipya...

Nimesoma eti wanaona Salah ata perfom zaidi akiwa 30+ kuliko Mane yaaani kwamba Mane angepungua kiwango huku akichukua mshahara zaidi, najiuliza huo uwezo wa hicho kipimo hakikufanya kazi wakati wanampa Henderson mkataba yaaani kwa FSG maajabu hua hayaishi.

YNWA
Screenshot_20220622_115707.jpg
 
Amefanya vema kwa muda alionao sio wa kupoteza muda kuifia timu wkt anajua katoka kwenye umasikini mkubwa,kwa muda huu alionao ni wa kuchuma kibunda cha kutosha toka kwa mabeberu

Money is beautiful,mwacheni akakusanye kibunda cha kutosha 💰💷💷💷💷💷
 
Bhanaaa pesa sabuni ya roho yaaani kwa kweli msimamo wangu upo pale pale mchezaji yeyote yule atakaepata ofa ya mshahara mnono akasepa hua sina hard feelings..

Professionally hawa jamaa wakifika 34+ hata soko na mkwaja inakua ishu unless kibiashara wanafanya vyema kama CR7, Messi, Lewandoski nk ndio utasikia mshahara wa 350k+...

Kama alivyosema Klopp tuyakumbuke mema yake na alivyojituma na mafanikio yote tuliyopata nae...

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom