Kwa kweli muda utasema Kaka.Sawa kaka tumpe muda aoneshe uwezo epl.
Duuh kwani ule mpango wa PSG kumhitaji wanakwama wapi..Keita bado tunae sana![]()
Eti wachezaji hodar kama VVD, labda hodari wa Ass defendingKabisa alikua na ofa tangu January 2022 kwenda Italia lakini akasema ngoja msimu uishe atazame haswa wapi panamfaa na kwa Uingereza Leeds, Brighton na Southampton walikua mstari wa mbele kumsaka, kilichomvutia zaidi ni kuona kwa Liverpool vijana chipukizi wanapewa nafasi team A baada ya Trent, Jones, Elliott kupata dakika za kutosha huku pia kucheza na wachezaji hodari kama VVD, Robertson nk wakimvutia bila shaka na lile hug la Klopp nalo akilitamani na amechagua vyema mahala sahihi...
YNWA
Ubaguzi wa rangi tu, hayo majamaa sijui FSG majinga tu na hakuna kama ManeMane kaniuma sana
MANE hatukumtendea haki na ni mvumilivu sana!
Iweje OX au Keita au TAA au Milner au Hendo wamshinde mshahara Mane?
Miaka 6 ya very underpaid


. Kiukweli jamaa alikuwa anajituma sana lakin mwisho wa siku wameishia kumwangusha, Manè hana kiburi, mstaarabu hana majeruhi ya kila mara, anajituma na Kiukweli ni bora wangemwachia Salah kuliko huyu mane maana hata uchoyo hana kama alivyo Salah.

. Manè ni Legendary na tutamkumbuka, usishangae Nunez akaflop tukaanza mtumia tena Firmino japo hatuombeiBado hajapewa jezi namba sababu atajiunga rasmi tarehe 1 Julai 2022.Carvalho wamempa jezi namba ngapi?
Inasikitisha sana mkuu,Mane kaniuma sana
MANE hatukumtendea haki na ni mvumilivu sana!
Iweje OX au Keita au TAA au Milner au Hendo wamshinde mshahara Mane?
Miaka 6 ya very underpaid
Mkuu sasa tunaelewana kabisa.Mane kaniuma sana
MANE hatukumtendea haki na ni mvumilivu sana!
Iweje OX au Keita au TAA au Milner au Hendo wamshinde mshahara Mane?
Miaka 6 ya very underpaid
Hili timu wamiliki niUbaguzi wa rangi tu, hayo majamaa sijui FSG majinga tu na hakuna kama Mane. Kiukweli jamaa alikuwa anajituma sana lakin mwisho wa siku wameishia kumwangusha, Manè hana kiburi, mstaarabu hana majeruhi ya kila mara, anajituma na Kiukweli ni bora wangemwachia Salah kuliko huyu mane maana hata uchoyo hana kama alivyo Salah.
Alafu tusianze kumlinganisha huyu Nunez na Suarez kabla msim haujaanza, mda utasema wenyewe na lolote linaweza tokea akaflop kama Minamimo alivyo kuja, muda utaongea tu nandipo tutakapo utambua umuhim wa Manè. Manè ni Legendary na tutamkumbuka, usishangae Nunez akaflop tukaanza mtumia tena Firmino japo hatuombei
FSG i hate you japo timu naipenda.

Unashabikia timu gani?Eti wachezaji hodar kama VVD, labda hodari wa Ass defending
Mmenunua magalasa hamna kitu humo, labda muombe mungu kuwe na corona tena ili mnyanyue kwapa.
Tumebaki na watu wazito uwanjani..Mkuu sasa tunaelewana kabisa.
Dogo Mane imeuma wengi sana.
Mane na Salah nadra sana kukosa mechi 10 kwa msimu kwa sababu ya majeruhi lakini tazama rekodi ya Keita, Ox ngumu kwao kukupa mechi 50 kwa msimu.
Kwa trend ya FSG sijashangaa sana, Mane ni mhanga wa wage structure pale Liverpool kama walivyo Emre Can na Gini na soon Salah. Na kwa bahati mbaya umri wa Mane haukua upande wake.
YNWA
Hivi kipindi kile Xavi Alonso anaodoka hukua umeanza kuishabikia Liverpool.Tumebaki na watu wazito uwanjani..
Ila akina Mane wanaoupiga mwingi eti wanaondoka!
Sijawahi kuona timu ya ajabu kama Liver.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa moja kwa moja ni Mbinguni.Mane katika ubora wake..
View attachment 2268525
View attachment 2268524
View attachment 2268523
View attachment 2268522
View attachment 2268521
YNWA