Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
The King kama King...
YNWA
Acha jazba utauwawaWewe n nyumbu halisi...aliyewapa jina la nyumbu hakika hakukosea,mnafanana Kila kitu na NYUMBU
Umepotea njia wewe.atakuja auzwe kama karanga mo to Barcelona, manoy to bundasliga. Who ar you going to failure
Jamaa ukimfagilia mtu upo vyema wala hana maajabu huyo ngoja kale katoto kanze kupangwa utamtukuna huyo chaumi wakoView attachment 2262150
🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿Tchouameni huyoo... Seems we have dodged a bullet...
Huyu kama Henderson aliechangamka kabisaaaa
YNWA
Huna hiyo jeuri,nyumbu tuu weeAcha jazba utauwawa
Boby angepewa kumi huyu apewe tisa yake
Labda kuna 10 anakuja 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Au Fabio Carvalho anapewa 10.Boby angepewa kumi huyu apewe tisa yake
Carvalho hua ana operate vyema upande wa kushoto na Elliott hua ni upande wa kulia.Jamaa ukimfagilia mtu upo vyema wala hana maajabu huyo ngoja kale katoto kanze kupangwa utamtukuna huyo chaumi wako
Cavaho kati na Elioti mbele japo huyu nafasi yake ngumu ila Calvanho atatoboa tu
Ukiachana na Keita sijaona tena failure ya usajili kwa Klopp na sitegemei awe ndio Darwin Nunez...Umepotea njia wewe.atakuja auzwe kama karanga mo to Barcelona, manoy to bundasliga. Who ar you going to failure
Si busara kukapa kumi kale watu wa kumi tayali wapo inabidi kakue kwanza tim nzito hiiLabda kuna 10 anakuja 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Au Fabio Carvalho anapewa 10.
Tuwe na subira.
YNWA