Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Huyu dogo Jesus wapeni OllaChuga Oc naona Lukaku safari ya Inter haipo mbali...Halaand Jana tu team ya taifa katupia 2 goal + assist ...
Ni goal machine ...
Bernado yupo Sana city ,hata Jesus sion akiondoka city maana hata arsenal hawaeleweki .. !
Ingekua ni amri yangu na Kipara asiweke neno hao ma dogo wote wawili ningependa kuwaona Liverpool 🔥🔥💃💃najua ni ndoto lakini ni machini haswa wote wawili...
YNWA

