Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sawa kabisa mkuu. All the best next season. Ila naamini na sisi tutarudi msimu ujao vizuri zaidi. Tukikutana tena moto utawaka.
 
Leo Ndo Ata Nimepata Nguvu Ya Moyo ya Kufatilia Khabri Za Mpira,

Nyie Nyie Ile Siku Ilikua Ndefu Sana Walai.
 
Hizii ni dharauu aisee... Ox,Milner,keita Wana chukua fungu kubwa kuliko MANE!!

Acha aendee aisee.

 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sawa kabisa mkuu. All the best next season. Ila naamini na sisi tutarudi msimu ujao vizuri zaidi. Tukikutana tena moto utawaka.
Msimu ujao ndugu yangu naona utakua fire balaaa sanaaaa.
Tazama Aston Villa, Tottenham wanavyosajili vyema sana na huku Chelsea, Manchester United, Arsenal nao wakiwa na mipango madhubuti kuboresha vikosi.
Hofu yangu ni mechi zitakua nyingi sana maana sasa kuna Nations League, EPL, UCL, World Cup yaaani 2022 wachezaji watatumika sana kwa kweli japo wameongeza Sub kua 5 msimu ujao lakini tutegemee majeruhi kwa hawa wachezaji hivyo timu itakayosajili vyema mapema watatoka salama msimu ujao.

Msimu huu Klopp katumia wachezaji 38 kwenye mashindano yote na kati ya hao tuna pancha za kutosha hivyo sapoti sokoni lazima hawezi kwepa.

YNWA
 
[emoji23][emoji23]sasa maneno aafu unachapika ndugu ndio balaa linapoanzia

Yaani hapo nimecheka balaa
 
[emoji23][emoji23]sasa maneno aafu unachapika ndugu ndio balaa linapoanzia

Yaani hapo nimecheka balaa
😂😂😂 Haha whats doesn't kill you makes you stronger.

FSG watufute machozi huyu babu Klopp apewe mpunga sokoni waanunue wachezaji anaowataka kuzidisha ubora maana sifa kuu ya Liverpool ni ku recover 2nd balls muda wowote mpira ukichukuliwa sasa unavyokua na wachezaji wenye umri wa 30+,ina maana intensity itapoa sana. Tunahitaji kuona makinda wakinunuliwa kuleta sapoti maana nina assume 4 3 3 dynamic full backs itaendelea hivyo tunahitaji wakimbiaji wa kumasha amsha haswa.

YNWA
 
Mpira bado mkuu, kwani baskeri yako anita ulii paki wapi?
Kaka mkubwa acha tu kuna saluni moja hivi niliipenda sana sasa saluni yenyewe ipo ghorofani mimi nikapaki baiskeli kwa chini nikasahau kufunga loku nami mwenyewe nikajisahau kush2ka haipo afu nchi za wenyewe hawa utamuuliza nani akuelewe hehehehehe 🤣🤣🤣 ila nimefanikiwa kuipata kaka mkubwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…