Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Asante Mkuu uwezo wetu uliishia pale hatukua na namna.Nini kimewakuta sasaa mkuuπππ
Tatizo mulijiamini Sana Yani ..poleni kwa kweli.
Yeaaaaaah man ukikosa leo unapata tena nafasi msimu ujao. Ndio raha ya mpira.Pole Sana mkuu mumekutana na kitu kizito ..tukutane Tena nest sezon ..huu msimu mulijihakikishia ushindi kabla ya mechi ..lakini siyo kila mechi Ni ya kushinda.πππ
Kawapiga kwa uzoefu tu sio ubora wa kikosi [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee naona umeimbuka kwa bwebwe zote...
Haya ndugu wewe faino materio hujakutana na huyo Real Madrid msimu huu tena mara mbili?? Na ukaambulia kipigo safiii bila ubishiiii.
Sio Chelsea, sio Manchester City mwenye mdomo mbele ya Real Madrid wote tumepigika roho safiiiiii bila majibu
YNWA
Don Carlos sio mtu mzuri kabisa. Timu imejaa vibabu Kross, Benzema, Modric nk lakini duuuh ni utulivu yaaani wanatuacha mpira tucheze sie wao ni kaunta tu...Kawapiga kwa uzoefu tu sio ubora wa kikosi [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupo vizuri,tuna uwezo wa kucheza na timu yeyote ile kubwa duniani.Naona mnalalamika sana Liverpool kufungwa jana. Ila kwa mashabiki halisi wa mpira waliotazama mpira wanajua kabisa jana bahati haikuwa upande wetu. Mistake moja tu ilitukost, tulikosa nafasi 3 za wazi , hii madrid mnayomsifia jana amepiga shoot on target 1 tu. Tukubali sometimes bahati huamua matoke. Kama zile gori mbili ziligonga mwamba zingeingia maana yake leo hiii liver angekungua ni bingwa. hebu angalia takwimu hapaView attachment 2243319
Shida yenu wezenu walipofungwa mlitia sana domo kayaNaona mnalalamika sana Liverpool kufungwa jana. Ila kwa mashabiki halisi wa mpira waliotazama mpira wanajua kabisa jana bahati haikuwa upande wetu. Mistake moja tu ilitukost, tulikosa nafasi 3 za wazi , hii madrid mnayomsifia jana amepiga shoot on target 1 tu. Tukubali sometimes bahati huamua matoke. Kama zile gori mbili ziligonga mwamba zingeingia maana yake leo hiii liver angekungua ni bingwa. hebu angalia takwimu hapaView attachment 2243319
Kumbuka hata City alidondosha point kwa Spurs na Chelsea na pia kwetu alidondosha kama tulivyo fanya sisi, Mechi iliyotugharimu kufungwa na W.HamSasa hivi mambo yamebadilika sana ili kuchungua ubingwa wa EPL au UCL inabidi timu iwe na mentality ya kushinda kila mechi inabidi tiwe iwe na mentality ya Ugiant kama ilivyo Bayern Munich kupiga vitimu vyote nyumbani na ugenini. Na hili linawezekekama EPL, Guardiola ameproove hili kwa kutupilia mbali mambo ya kusema sijui EPL ni ngumu,sijui kushinda mechi karibia zote ni ngumu yeye hakujali hilo kwahiyo amejitengenezea Ugiant England. Liverpool inabidi muepukane na utamaduni wa kugawana na point na hizi timu mnazoziita top six ndo mchukue ubingwa, msimu huu mlikuwa vizuri sana lakini mkashindwa kuchukua point angalau tatu kwa City, Tottenham na Chelsea. Hamuwezi kuchukua ubingwa kwa kutegemea timu nyingine zimsimamishe mshindani wenu ili nyie mtwae ubingwa.
Usije kuwa mtu wa Man u tu mtuambie tu tunazika au tunasafirisha π π jamani matanga mwisho siku moja hamjui kama kuna vita Ukraine mafuta ya kula bei juu.Hapa tutapiga kambi week nzima nahamtufanyi kitu mkitaka mtuuwe. Mnakelele sana mashabiki wa Liverpool hadi mnakera.
Kwenye football hakuna mtu wa kuaangalia huo upuuzi Tena ...wewe ni loser kaa pembeni ...Naona mnalalamika sana Liverpool kufungwa jana. Ila kwa mashabiki halisi wa mpira waliotazama mpira wanajua kabisa jana bahati haikuwa upande wetu. Mistake moja tu ilitukost, tulikosa nafasi 3 za wazi , hii madrid mnayomsifia jana amepiga shoot on target 1 tu. Tukubali sometimes bahati huamua matoke. Kama zile gori mbili ziligonga mwamba zingeingia maana yake leo hiii liver angekungua ni bingwa. hebu angalia takwimu hapaView attachment 2243319
Tatizo ligi ya laliga haina pesa so timu zao zinakamia sana uefa maana ndo yenye pesa na ukibishanisha kiligi utakita ni madrid na barca tu ndo waliochukua kombe la uefa nyingine hazijawahi lakini epl kuna timu 5 ambazo zilishawahi kulichukua hilo kombe.Aise timu za Spain ni bora kuliko za EPL.
Moto tu alio pelekewa man city dhidi ya A.madrid,hatari sana.
Ule moto wa Villarreal dhidi ya Liverpool first half ilikuwa noma.
Madrid kaja kuonesha ubora zaidi.
ATTACK WINS YOU GAMES,DEFENCE WINS YOU TITLES
Hata wewe Liverpool kufika finali ni Bahati tu, ebu angalia timu zote ulizokuwa umecheza nazo kabla ya kufika fainali huoni kuwa ulikuwa na bahati sana ukilinganisha na timu zingine, kubali tu kuwa umeshindwa.Naona mnalalamika sana Liverpool kufungwa jana. Ila kwa mashabiki halisi wa mpira waliotazama mpira wanajua kabisa jana bahati haikuwa upande wetu. Mistake moja tu ilitukost, tulikosa nafasi 3 za wazi , hii madrid mnayomsifia jana amepiga shoot on target 1 tu. Tukubali sometimes bahati huamua matoke. Kama zile gori mbili ziligonga mwamba zingeingia maana yake leo hiii liver angekungua ni bingwa. hebu angalia takwimu hapaView attachment 2243319
City msimu huu kachukua point sita kwa Chelsea, Asernal na Man UKumbuka hata City alidondosha point kwa Spurs na Chelsea na pia kwetu alidondosha kama tulivyo fanya sisi, Mechi iliyotugharimu kufungwa na W.Ham
Huo uwezo wa kuwin again unaosasa! hiyo ndo imetoka you're loosefool,Tupo vizuri,tuna uwezo wa kucheza na timu yeyote ile kubwa duniani.
Next time,we win again
Acha makasiriko na timu isiyo kuhusu, wanaume ndio tunaocheza final km hizi.Huo uwezo wa kuwin again unaosasa! hiyo ndo imetoka you're loosefool,
Yaani matimu majinga sana haya ππππCity msimu huu kachukua point sita kwa Chelsea, Asernal na Man U
Ok sisi tuliapoteza kwa Chelsea lakini hata city alipoteza points kwa PalaceCity msimu huu kachukua point sita kwa Chelsea, Asernal na Man U