Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Mzee utakuja kufaa mapema achana na hili genge la wahuni [emoji23][emoji23][emoji23]YNWA [emoji3531]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Lala brohz, utapata nimonia bureee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cheki huu mkojo wa mlevi ..hayo maakombe ya mbuzi hayana maana yeyote mbele ya UEFA 😂😂😂MATAHIRA YA EPL BHANA ETI HII KENGE IMEMALIZA BILA KOMBE LOLOTE ILA ANAMCHEKA LIVERNYETO MWENYE FA NA CARABAO.
HALLA MADRID.
Hahahahahahaha dah aise ..Kuna wakati muna maneno ya kuifanya unywe sumu😂😂😂😂😂Liverpool kama baiskeli ya kunolea visu kelele nyingi lakini iko hapohapo
Saiv umehamia madrid? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Cheki huu mkojo wa mlevi ..hayo maakombe ya mbuzi hayana maana yeyote mbele ya UEFA [emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi ni mabingwa wa dunia bado.
#HalaMadirid
unajiskiaje[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji23][emoji23][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Saiv umehamia madrid? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuku kawa bata, sasa hivi ni mwendo wa kuharisha tu.Kwadriple nyenyenyenyenye[emoji3525][emoji3525]
Ndio maana yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] leo ndo bahati haikua kwenu eeeh?
😂😂😂😆wachovu wamo wote humu leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kazi kwelikweli, nao wamekuja kuchangia mambo ya UEFA.
Bora ubanduliwe huku chini robo, semi final ..lakini fainali dah hapana ..vumilia ndio maisha😀😀😀😀Nyie hamkubanduliwa?