Konate bado anapata elimu kazi ya ziada ya kwa mabeki Liverpool hua pia kuanzisha mashambulizi pale hali ina ruhusu sasa kwa hilo huyu dogo bado kabisa na ni bora awe alivyo mpaka pale atakapojiamini.
Matip yeye ipo siku atapiga chenga mpaka kipa kwa kutembea na mpira maeneo ya hatari na hua kuna yafuatayo aidha atapata mpenyo wa pasi ama ataporwa mpira ama atapata faulo eneo ya hatari ndio maana Klopp amempa hicho kibali kucheza vile.
Kwa timu kama Real Madrid wenye MF iliyokamilika unahitaji ballers ku recycle mpira inapobidi. Hivyo kwa defence tuna Matip pale kati tuna Thiago na mbele ni Diaz.
YNWA