Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,448
- 32,877
😂😂😂😂😂😂😂😂Kwenye maji kuna papa haha utulie tuliii ndugu makubwa yaja msimu ujao ukiona Klopp alishasaini mkataba mpaka 2026 ndio ujue yajayo yanafurahisha.Imeisha hiyo mkuu wangu.
Hii game tunamaliza mizimu ya kwetu Nanjirinji inaniambia wazi usiku..
Thiago akiwa hayupo hali itakuwa mbaya sana pale kati,huyu ni mtu wetu muhimu sanaaaa..
Pia TAA na robo wakiwa kwenye ubora wao tunamaliza kazi mapema na hivi waziri ametangaza kuonesha mechi daraja la tanzanite pale ,tukishinda tunajitupa majini 😂😂
Baada ya hii gemu ya Wolverhampton kuna siku 6 za ku recover naamini vijana wote watakua salama kabisa kuwavaa vijana wa Don Carlos.
YNWA