Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20220518_211313_com.android.chrome_edit_84896576961003.jpg


Taikumi 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥.
Bila Origi msimu ujao na sub 5 dogo tutamwelewa vyema sana.

YNWA
 
Na kweli hapa ni kutulia tu.

June 2022 Julian Ward atakua bizy sana na haya mambo. Pale kuna Firmino, Mane, Salah, Ox, na Keita wote hawa mikataba inaisha June 2023.
Milner na Origi June 2022 watakua mikataba yao imeisha.

Klopp alishasema Keita na Milner bado anawahitaji hivyo angalau hao wana asilimia kadhaa kubakia Liverpool.

Milner, Keita, Origi, Ox na Karius hawa kwa sasa wakasake maisha kwingine wapishe wachezaji wapya watue kuleta idea mpya klabuni.

YNWA
Kama vipi aende tu japo roho inauma
 
Tukomae kwa Bissouma. Hakuna namna.

Hivi Jones ni apate dakika zaidi ama apate mkopo maana kama vile hua anakwenda mbele na kurudi nyuma. Mechi ya jana kacheza vyema sana kuna mashuti yale ya nje ya 18 anajaribu kutupia ishu hajawa clinical.

Jones real Scouser. Talent ipo.

YNWA
Hana mpango yule keshajiona anajua hajitumi muangalie Forden anavyo chakarika auzwe kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom