Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20220518_155132_com.android.chrome_edit_74949150576063.jpg

Hatujapoteza EPL mwaka huu 2022.

Asante Klopp.

YNWA
 
View attachment 2229436

Salah hii ishu itakuja kum cost maana naona sasa vimaneno vinazidi kuongezeka. Anaambiwa awatazame akina Can, Coutinho, Gini yaliyowakuta baada ya kuodoka Liverpool.

Redknapp anasema ni rahisi mno kumpata Salah mpya wa kufunga magoli lakini ni ngumu mno kumpata VVD mwingine yaaani. Anasema VVD ndio anatakiwa kulipwa mapesa kama yote na sio Salah haha yaaaaani tutaelewana. Jamaa kamwambia Klopp ndio kamfanya awe alivyo hivyo apige hesabu zake vzuri kabla ya kufanya maamuzi.

YNWA
Ila kweli
VVD anaupiga mwingi jamani ..anacheza kama mashine,kila mechi yupo aisee.
Bila yeye kuzuia,hata tungefunga mabao,bado tungepigwa tu.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Ila kweli
VVD anaupiga mwingi jamani ..anacheza kama mashine,kila mechi yupo aisee.
Bila yeye kuzuia,hata tungefunga mabao,bado tungepigwa tu.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Kila nikiwaza naona hii ishu ya Salah wakala wake itabidi awe mwepesi wa kufanya maamuzi wakati sahihi.. Mi naona ni kama Liverpool wanawatega PSG kwamba Mbappe asepe zake Real Madrid aafu hapo sasa FSG wawasubirie chap matajiri wa mafuta waje kumnunua Salah... Hii ya kumpa mshahara unaozidi VVD na akiwa na miaka 30 kwao ni mtihani mkubwa sana na Klopp yupo kimya wala haonyeshi kumsapoti Salah wala FSG yeye katulia tuliiii nwa muda unakaribia ni hapo June 2022 yote tutayajua.

VVD kuanzia msimu 2023 mshahara wake utapanda mpaka £250k kwa wiki hakika anastahili hata zaidi ya hio.

Ngoja tuone mwisho
Tule mtori kwanza,nyama zipo chini.
 
Tukomae kwa Bissouma. Hakuna namna.

Hivi Jones ni apate dakika zaidi ama apate mkopo maana kama vile hua anakwenda mbele na kurudi nyuma. Mechi ya jana kacheza vyema sana kuna mashuti yale ya nje ya 18 anajaribu kutupia ishu hajawa clinical.

Jones real Scouser. Talent ipo.

YNWA
Alicheza vizur ila tatizo lake nikutaka kufanya zaid ya uwezo wake.

Nawahurumia sana takumi na gomez coz talent zipo ila dk za uwanjan na raia walio zikalia namba zao ni kwikwi
 
Eerh Mungu baba uliye mbinguni
Jumapili ututendee muujiza kipara apigwe konzi kama alivyofanya moyes na Steve pia afanye hayo..

Usitutie mikononi mwa Bruno lage,bali utuondolee uovu wa kipara

Amen.
 
View attachment 2229436

Salah hii ishu itakuja kum cost maana naona sasa vimaneno vinazidi kuongezeka. Anaambiwa awatazame akina Can, Coutinho, Gini yaliyowakuta baada ya kuodoka Liverpool.

Redknapp anasema ni rahisi mno kumpata Salah mpya wa kufunga magoli lakini ni ngumu mno kumpata VVD mwingine yaaani. Anasema VVD ndio anatakiwa kulipwa mapesa kama yote na sio Salah haha yaaaaani tutaelewana. Jamaa kamwambia Klopp ndio kamfanya awe alivyo hivyo apige hesabu zake vzuri kabla ya kufanya maamuzi.

YNWA
Halafu huyu Salah ameanza kuwa mpumbavu anajikuta sana kwamba muhimu sana na watu muhimu kina vvd wspo wamepiga kimya.

Kama vipi tumwachie asepe tuone yatakayomkuta..
 
Halafu huyu Salah ameanza kuwa mpumbavu anajikuta sana kwamba muhimu sana na watu muhimu kina vvd wspo wamepiga kimya.

Kama vipi tumwachie asepe tuone yatakayomkuta..
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Tunae muacheni akapumzike June atarejea akili imekaa sawa. Kukosa ubingwa Afcon na kukosa kwenda kucheza Qatar naona kumemvuruga kabisaa ukichanganya na spinning za FSG kwamba anataka £500k kwa wiki ndio amezidi kupagawa.

Salah ni Salah siamini kwamba amekwisha japo magoli kwake yamekata sana anahitaji kupata muda wa kupumzika na ku sort haya ya mkataba wake.

YNWA
 
Alicheza vizur ila tatizo lake nikutaka kufanya zaid ya uwezo wake.

Nawahurumia sana takumi na gomez coz talent zipo ila dk za uwanjan na raia walio zikalia namba zao ni kwikwi
Jones kipaji kipo kabisa kinaonekana ila kwenye kufanya maamuzi ndio anakwama yaaani muda gani apige chenga na eneo lipi apige chenga na muda gani aachie mpira ni changamoto lakini anachotaka kufanya kinaonekana ishu ni ile execution ni tatizo.

Gomez huyu mwili wake sio wa mishe mishe kabisaaa sijui amekua aje.. kwa kweli Aston Villa wakileta ela auzwe tu aisee maana msimu huu hajatumika ipasavyo lakini bado ipo...

Taikumi proper boy. Salute his attitude noma sana.

YNWA
 
Ngoja tuone mwisho
Tule mtori kwanza,nyama zipo chini.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Na kweli hapa ni kutulia tu.

June 2022 Julian Ward atakua bizy sana na haya mambo. Pale kuna Firmino, Mane, Salah, Ox, na Keita wote hawa mikataba inaisha June 2023.
Milner na Origi June 2022 watakua mikataba yao imeisha.

Klopp alishasema Keita na Milner bado anawahitaji hivyo angalau hao wana asilimia kadhaa kubakia Liverpool.

Milner, Keita, Origi, Ox na Karius hawa kwa sasa wakasake maisha kwingine wapishe wachezaji wapya watue kuleta idea mpya klabuni.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom