Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

My Take On Taikumi

Dogo Taikumi tetesi ni kwamba amechoka kusugua benchi..kwa vile sub ni 5 msimu ujao atulie kwanza unless Klopp alimnunua kwa ajili ya kuuza kwa faida. Msimu huu ametimiza goli 10 kwa kucheza mechi chache mno za Carabao, FA na sasa EPL.
Klopp ampe msimu mmoja asaidiane na Salah upande wa kulia anatufaa kwa rotation na work rate pia ipo vizuri sana.

YNWA
 
Adjustments.jpg
 
Juu ya kuwa ni Squad player lakini Klopp amekuwa akimnyima sana game time.
Kama vipi ikibidi kuuzwa bora Spurs wamnunue akaungane na Son.
 
Mkitaka mushuke hadhi muwe mnampa regular minutes muone. Kuwafunga Soton kusiwadanganye, Minamino is typical a Championship player sio EPL

Ana Magoli mengi kuliko Werner, Kai, Pulisic.
Licha ya Dakika chache alizocheza Msimu huu lakini amefunga Magoli 10.
Hivyo, kama Taki ni Championship palyer basi hao wa kwako ni wa Second Division player.
 
Let wait and see
 
Ndg yangu unajishushia heshima unavyotumia nguvu kubwa kutetea kitu ambacho akiexist. Hizo goli kumi kafunga mechi zipi??
Pulisic 13 mechi kubwa epl na UEFA
Werner ana goli 13 epl an uefa
Kai ana 13 EPL na UEFA sijaweka assits na ligi za mbuzi za minamino
Wach kujishushia heshima ndg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom