Anfield2
Member
- Oct 10, 2018
- 38
- 47
Mpambanaji, Central midfielder, attacking midfielder, Full back, defensive midfielder, nk.
Mpambanaji, Central midfielder, attacking midfielder, Full back, defensive midfielder, nk.
Wewe kweli ni Genetic disorder kama ilivyo ID yako![]()
Mechi ziliyotunyima ubingwa zilikuwa dhidi ya Crystal Palace 3 - 3 na West Bromwhich 1- 1 makosa ya Kolo Toure kumzawadia pasi Victor Anichebe na kusawazisha goli.Atusaidie mnk aliwai kuteleaa na kusababisha kupoteza ubingwa mbele ya Chelsea so anapazwa kufight haswa apange kikosi chote kiwe defence na at taking kdg vinginevyo madogo wale watamlostisha
LFC ya msimu huu inabidi ikahifadhiwe museum.
Kikosi cha pili kimepata points tatu ugenini.
Yaani nina uhakika 100% timu ya Gerrard itafia uwanjani kumkwamisha Man City! Kazi anayo!