Huyo ni New version ya hawa
- Mkhitaryan
- Dembele
- Pulisic
- Werner
- Kai
- Sancho
Siamini mchezaji yoyote wa Bundesliga kuja EPL tutapigwa tu.
Soon kuna Timu itapigwa za kutosha kwa Jude Bellingham





Kimeumana uko 🤣🤣🤣Mnahitaji ubingwa halafu mnatuwekea minamino, elliot
Napenda leo klopp alivyo panga kikosi
Mnahitaji ubingwa halafu mnatuwekea minamino, elliot
Mwambieni Klopp hii ni EPL sio Karabao
Napenda leo klopp alivyo panga kikosi
😂 😂 😂 Farmers League.Bundesliga na League 1 wachezaji wake ni wa kubahatisha tu.
Unaweza kuta wanag'ara kwenye Ligi zao za Farmer's Leagues lakini ukiwaletea EPL wanageuka Vituko.
Minamino Habari nyingine wewe top scorer wetu FA na Carabao cupMnahitaji ubingwa halafu mnatuwekea minamino, elliot
Mwambieni Klopp hii ni EPL sio Karabao
Wai chap sana ukapate ma paudi yakutosha...Aisee
Ngoja na Mimi nikajiunge na liver ya wanawake
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Klopp hua ni habari nyingine kabisaaa yaaani huyu mwamba hapangiwi kamwe.Mnahitaji ubingwa halafu mnatuwekea minamino, elliot
Mwambieni Klopp hii ni EPL sio Karabao