PERAMIHO YETU
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 6,289
- 17,312
Asante Sana mkuu pole pia huu n uungwana Sasa sio Kama zaman muda Kama huu upo uz wa kula tunda kimasiharaHongereni Sana kwa kubeba kombe.
Asante Sana mkuu pole pia huu n uungwana Sasa sio Kama zaman muda Kama huu upo uz wa kula tunda kimasiharaHongereni Sana kwa kubeba kombe.
Tumewapiga TenaHongereni Sana kwa kubeba kombe.
Kombe zuri pekee NI LA CL AMBALO WEWE HATA KULISOGELEA HUWEZI[emoji1787][emoji1787]Kombe lenyewe bayaaa ,aisee hayo makombe ya FA inatakiwa yabadilishwe Muundo [emoji28][emoji28][emoji28] kinu sio kinu,birika sio birika ,ndoo sio ndoo daaaaaaa
Maneno ya wakosaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kombe lenyewe bayaaa ,aisee hayo makombe ya FA inatakiwa yabadilishwe Muundo [emoji28][emoji28][emoji28] kinu sio kinu,birika sio birika ,ndoo sio ndoo daaaaaaa
Update yoyote ya injury ya salah na vvd?
Siku hizi umekua mstarabu sana mkuu ni klopp kakunyoosha hivi?Hongereni Sana kwa kubeba kombe.
Kombe limekaa kama kinu ,sijui birika ,yaani [emoji28][emoji28][emoji28]ila watu wanashangilia kama Nini aiseee[emoji28][emoji28][emoji28]Kombe zuri pekee NI LA CL AMBALO WEWE HATA KULISOGELEA HUWEZI[emoji1787][emoji1787]
Punguza makasiriko jombaaKombe limekaa kama kinu ,sijui birika ,yaani [emoji28][emoji28][emoji28]ila watu wanashangilia kama Nini aiseee[emoji28][emoji28][emoji28]
Klopp mtu m'bad🤣🤣🤣🤣Siku hizi umekua mstarabu sana mkuu ni klopp kakunyoosha hivi?
Tunabeba Epl,tunabeba Champion leagueNikiangalia hili kombe la FA napata kichefuchefu kudadeki ,halina hadhi kabisa takataka ....hivi hili ni kombe la kushangilia kombe limekaa kama birika
Kombe bayaaa Sana mkuu ,embu angalia mwenyewe ,hata mtoto wa miaka kumi analinyanyua kwa mkono mmoja [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Punguza makasiriko jombaa
Ngoja nipotee zangu nikajiliwaze kule😂😂😂Asante Sana mkuu pole pia huu n uungwana Sasa sio Kama zaman muda Kama huu upo uz wa kula tunda kimasihara
Hayo ndio makombe ya kiume Sasa ,sio mnatupigia kelele na mabirika [emoji28]Tunabeba Epl,tunabeba Champion league
Hata afe mtu Chelsea tunachukua FA
RM wanachukua CL
Ninyi mbaki na Karabao ndio size yenu hata kama mna squad nzuri
This is football
Bahati
Kismati
Uwezo
Ubora
Ufundi
Nyota njema
Class
Form zote zinatumika kuleta ushindi kwa timu yeyote