Ndio akili zimemtuma klopp hivyoKwani Izi Sub leo Vipi Diaz Anatokaje?
No noMkuu join uthibitishe ukiona bluu in install ,for more info pm
Kumtoa Diaz ni kuwapa ahuenu Chelsea kule mbele.Kwani Izi Sub leo Vipi Diaz Anatokaje?
Salah hayupo aliumia tangu kipindi cha kwanza.Mkuu
Vp Salah bado hajatolewa tuu🤔 maana yupo kama hayupo
Kachoka kwani yeye roho?Kumtoa Diaz ni kuwapa ahuenu Chelsea kule mbele.
Dear Kops, tuendelee kushikamana na kuomba bahati iwe upande wetu.
Kaodoka nayo Diaz lakini pia uchovu umechangia kwa timu zote...Sasa Sioni Kama Tunafanya Mashambulizi Tena.
Izi Presha Tutaja Zima JamaniKaodoka nayo Diaz lakini pia uchovu umechangia kwa timu zote...
YNWA