Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu mimi nipo ila tu majukumu napunguza muda wa kuwepo humu na nikiwepo nakua nyumbani kwangu tu muda wa ziada ndio naingia huku.

Kuhusu Lukanyavu subiri msimu unaokuja atadeliver tu. Tushapata tajiri mwingine kwa hiyo mambo yanaweza kwenda sawa kwenye transfer window
Pole sana na majukumu ndugu. Mapambano muhimu sana.

Ngoja tuone muda utasema kama kweli Erling ndio silaha yao kushinda Champion League maana ndio jambo lao kuu wanalokosa kwa sasa.

Lukaku mbona kama ana hamu kurejea kule Italy Inter Milan. Ingekua powa kama kweli mchukueni mpambanaji Martinez muwape Lukaku na pale dogo mtakua mmepata jembe.

YNWA
 
Inter hawawezi kumrudisha Lukaku na siona timu nzuri inayoelekea kumtaka Lukaku so obviously lazima tutakua naye msimu ujao na atakua hana budi ku pullup his socks.

Martineza ni mshambuliji mzuri ila tunaogopa yasije kututokea yaleyale ya mwanzo ya Lukaku
 
Dogo Martinez nimeangilia hizi mechi za mwishoni Serie A na nisema kabisa pale kuna talent aisee kama akitua Ethad au Barcelona pale wamepata jembe haswa.

Kwa ile bei euro or usd 97m ya Lukaku na mshahara wake niseme tu huyo mkumbali kula hasara tu msimu ujao kama hataonyesha cheche basi June 2023 muuzeni hata kwa hasara. Tazama tetesi ni kwamba Coutinho anauzwa Euro 20m kwenda Aston Villa 🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿imagine Barcelona wamekula hasara kubwa aje yaaani.. Wakati mwingine bora kula hasara wengine waje wapate huo mshahara na wapige kazi kazi kusaka mafanikio.. Liverpool tulikula hasara kwa Balloteli hakuna cha maana alicholeta na hata kumuuza ilishidikana.

Shinda ya Lukaku ni mfumo wa kocha labda msimu ujao kocha atapata namna bora ya kutumia his strength ili awasaidie kufikia kilele cha ubora.

YNWA
 
Toka tulipomkosa msimu uliopita roho yangu haina shida naye tena. Lakini nilikua na uhakika sisi ndio tungeweza kutrigger ile buying clause yake mwisho wa msimu huu ila changamoto tulizopitia ndio zimetufikisha hapa. Mwache aende

Ok, tuachane na hilo.

Nahitaji maoni yako kwenye hili! Tukiangalia Timu kubwa na zenye Uchumi mkubwa kama PSG, Real Madrid, Man United, Juventus, Liverpool, Barcelona na Arsenal (Tumtoe Chelsea kutokana na Changamoto)! Timu zioikuwa na uwezo wa Kumsajili Haaland na zingeamua kushindana na Man City basi Man City wasingempata lakini hazikuonesha nia yoyote ku-trigger Release Clause yake ingawa ni ndogo sana na wamemuachia Man City kumalizana naye bila ya ushindani wowote. Unadhani sababu hasa ni nini?

- Mimi niliwaza pengine Timu zilihofia kuhusu mshahara lakini nikaona kwahapo ni Liverpool to pekee ndiyo hawawezi kulipa mchezaji £350K au zaidi kwani Arsenal walimlipa Özil £350K per week hivyo nikaona sababu ya mshahara ni dhaifu.

- Pia nimewaza huenda sababu ikawa Timu bado zinahofia uwezo wake kuwa hajaprove Class yake.
 
Sasa kama nyinyi wenyewe mmeshindwa kumfunga city mnataka timu zingine ndio ziwasaidie kumfunga? Kila mtu ashinde mechi zake tu.
 
Tulimtuma Wolves amfunge City lakini kinacho tokea huko! , Mi nilipenda tu kwa sasa klop apumzishe wachezaji kwaajili ya UCL basi. Masuala ya kukimbizana na city hatuyawezi.
nakutafutaa sanaaa.
 
Tulimtuma Wolves amfunge City lakini kinacho tokea huko! , Mi nilipenda tu kwa sasa klop apumzishe wachezaji kwaajili ya UCL basi. Masuala ya kukimbizana na city hatuyawezi.
Apumzishe asipumzishe sisi Madrid hayatuhusu, tunachojua ni kumtabdika Liverpool
 
Ok, tuachane na hilo.

Nahitaji maoni yako kwenye hili! Tukiangalia Timu kubwa na zenye Uchumi mkubwa kama PSG, Real Madrid, Man United, Juventus, Liverpool, Barcelona na Arsenal (Tumtoe Chelsea kutokana na Changamoto)! Timu zioikuwa na uwezo wa Kumsajili Haaland na zingeamua kushindana na Man City basi Man City wasingempata lakini hazikuonesha nia yoyote ku-trigger Release Clause yake ingawa ni ndogo sana na wamemuachia Man City kumalizana naye bila ya ushindani wowote. Unadhani sababu hasa ni nini?

- Mimi niliwaza pengine Timu zilihofia kuhusu mshahara lakini nikaona kwahapo ni Liverpool to pekee ndiyo hawawezi kulipa mchezaji £350K au zaidi kwani Arsenal walimlipa Özil £350K per week hivyo nikaona sababu ya mshahara ni dhaifu.

- Pia nimewaza huenda sababu ikawa Timu bado zinahofia uwezo wake kuwa hajaprove Class yake.

Hata mimi nimeliona hilo uwezo wake bado huyo,Epl hapo sio pakitoto hapo anaweza akafail wakawa wamepigwa.
 
Kwa kitambo Simon humu majujumu tu. Hope all of you are doing better.

Kushindwa kuzifunga hizi timu Anfield ndicho chanzo Cha kuukosa ubingwa:

1. City tuligawana point.
2. Chelsea tuligawana point.
3. Brentford tuligawana point.
4. Brighton tuligawana point.
5. Spurs tuligawana point.

We need more signings,
Kiungo mkabaji
Kiungo mchezeshaji
Another winger
ST mwenye uwezo wa kupiga false 9 kwa kiwango Cha Bobby Cha 2017-2020.

Kuna wakuuzwa Kama
Divock sioni akibaki
Chamberlain sioni akibaki
Milner kustaafu/kuondoka
Hendo too old kwenye system ya klopp kucheza week in week out kwa ubora,
Keita not good enough,
Fabby Thiago wingi wa mechi utawachosha and probably kuwaleta injuries za kujirudia rudia.

Klopp apewe fungu spare 3-4 players anaowataka, all in all congrats to the gaffer he has done alot these season.
Diaz kaongeza kitu kikubwa Sana,
Full fit Matip and Thiago it is bull booster to JK

Let's enjoy football, with it's things.
YNWA.
Best of luck to us. God bless you all
See You Next God Willing.
 
Adjustments.jpg
 
Ok, tuachane na hilo.

Nahitaji maoni yako kwenye hili! Tukiangalia Timu kubwa na zenye Uchumi mkubwa kama PSG, Real Madrid, Man United, Juventus, Liverpool, Barcelona na Arsenal (Tumtoe Chelsea kutokana na Changamoto)! Timu zioikuwa na uwezo wa Kumsajili Haaland na zingeamua kushindana na Man City basi Man City wasingempata lakini hazikuonesha nia yoyote ku-trigger Release Clause yake ingawa ni ndogo sana na wamemuachia Man City kumalizana naye bila ya ushindani wowote. Unadhani sababu hasa ni nini?

- Mimi niliwaza pengine Timu zilihofia kuhusu mshahara lakini nikaona kwahapo ni Liverpool to pekee ndiyo hawawezi kulipa mchezaji £350K au zaidi kwani Arsenal walimlipa Özil £350K per week hivyo nikaona sababu ya mshahara ni dhaifu.

- Pia nimewaza huenda sababu ikawa Timu bado zinahofia uwezo wake kuwa hajaprove Class yake.
Mkuu mi nadhani hapo ni mjanja kuwahi halafu uwe na offer ya maana pia mchezaji mwenyewe lazima aangalie anaenda kucheza na nani? Imagine eti Halaand akacheze na Morata sijui Elneny wakati huo kuna timu ina watu kama KDB, Silva, Gundogan imeleta offer.

Halafu mi nilitegemea Madrid ndio wanamchukua Halaand sijajua Perez kafeli wapi au labda anaogopa kuwa na wachezaji wengi wanaokula mshahara mkubwa maana ndio timu nyingi zina consider sana hilo swala ili kubalance vitabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom