Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20220511_073616_org.telegram.messenger_edit_119207222507330.jpg

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Ni mwendo wa kuota tu hakuna namna kwa wengine.. huku Liverpool tukitimiza ndoto zetu kibishi.

YNWA
 
Screenshot_20220511_073649_org.telegram.messenger_edit_119173092777648.jpg

Dogo kachagua mpunga wa 350k kwa wiki kuliko kushinda Champions League πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwa usajili huu mnaona aje Sterling arejee nyumbani sasa aanze kwa kuomba radhi maana hio Champions League alipo anaiona kwenye kideo...

YNWA
 
View attachment 2220287

Dogo kachagua mpunga wa 350k kwa wiki kuliko kushinda Champions League

Kwa usajili huu mnaona aje Sterling arejee nyumbani sasa aanze kwa kuomba radhi maana hio Champions League alipo anaiona kwenye kideo...

YNWA
Huu usajili wa haaland unawatesa Sana ,sio nyie Liverfool tu Hadi wafagia vyoo wa anfield

Huu upinzani wa pep & kloop daa naona unaelekea pabaya Sasa ...!

itafika muda game za city Vs Liverpool ni ngumi na kumwaga damu uwanjani
 
Yan hii comment inaashiria mnateseka sana kwa huyu dogo kwenda Man City
Duuh kumbe upo nikajua upo Raine Bank unahangaika na mauzo ya klabu maana long time sijakuona... Nipo na jamaa yangu Chugga kama kawaida..

Binafsi sina cha kuumia kwani EPL hua ina matokeo ya kushangaza sana na dogo pamoja na ubora wake ana fitness issue za hapa na pale design kama Aguero hivyo muda utasema...

Kama Lukaku kwenu hajawapa cutting edge mpo pale pale mlipokua msimu uliopita usishangae na huyu yakawakuta.

YNWA
 
Lakini si ndiyo nyinyi muliokuwa munajitaoa kumsajili Haaland pale Chelsea?
Munaonaje kumkosa?
Toka tulipomkosa msimu uliopita roho yangu haina shida naye tena. Lakini nilikua na uhakika sisi ndio tungeweza kutrigger ile buying clause yake mwisho wa msimu huu ila changamoto tulizopitia ndio zimetufikisha hapa. Mwache aende
 
Duuh kumbe upo nikajua upo Raine Bank unahangaika na mauzo ya klabu maana long time sijakuona... Nipo na jamaa yangu Chugga kama kawaida..

Binafsi sina cha kuumia kwani EPL hua ina matokeo ya kushangaza sana na dogo pamoja na ubora wake ana fitness issue za hapa na pale design kama Aguero hivyo muda utasema...

Kama Lukaku kwenu hajawapa cutting edge mpo pale pale mlipokua msimu uliopita usishangae na huyu yakawakuta.

YNWA
Mkuu mimi nipo ila tu majukumu napunguza muda wa kuwepo humu na nikiwepo nakua nyumbani kwangu tu muda wa ziada ndio naingia huku.

Kuhusu Lukanyavu subiri msimu unaokuja atadeliver tu. Tushapata tajiri mwingine kwa hiyo mambo yanaweza kwenda sawa kwenye transfer window
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom