Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Salah msimu huu alikuwa na uwezo wa kufikisha hata goli 30 lakini ana tatizo nimeligundua! Football brain yake haipo sawa na wala si ubinafsi kama watu wanavyodhani.

Kuna wakati Salah unamuona hasa ametengeneza nafasi ya wazi ya kufunga yeye mwenyewe na uwezo wa kufunga anao lakini unamuona hasa kuwa anaupiga mpira kwa kubutua bila ya malengo yoyote.

Na unaweza kumuona anakwenda na kipa 1 vs 1 lakini akimkaribia basi hapogi golini bali anabutua kama anayembabatiza Kipa huku anamkimbia.

Anamkuta anamkimbia na mpira ndani ya Boksi then huoni kuwa ana lengo la kufunga bali anampiga nao huo mpira beki yoyote aliyepo mbele yake.

Hivyo nahisi football brain ya Salah imekuwa na shida kubwa kiasi ya kwamba kama hajui anafanya nini pale uwanjani.

Salah akitulia ana uwezo wa kutoka na goli kila machi kama alivyopania siku ya Manure au atakavyopania kwenye Fainali vs Real Madrid.

Jaribu kumcheki kwenye game ya leo usiku utaligundua tatizo la football brain ya Salah.
salah kisaikolojia hayuko vizur toka atolewe afcon na world cup qualifications. expectations zake awe favourite kwa asilimia kubwa kushinda ballondior baada ya kushinda afcon na kufuzu kombe la dunia sasa amekuwa disappointed sana baada ya kushindwa kufanya vizur kwny timu ya taifa. cha msingi klop na jopo lake wakae nae na kumueleza aache kuwa bias kukimbilia individual awards zaidi ya timu. timu iwe kwanza hizo individual awards kwa sasa zitakuja zenyewe automatic
 
City ana draw kesho vs wolves na jpili vs Westham
hizi game mbili zilivyokaa wiki hii za ugenini city anaweza drop point hapo hope Gerald acheze dhidi ya city namna alivyocheza na sisi kunauwezekano mkubwa kati ya mechi tatu zilizobaki akadrop points cha msingi na sisi tushinde na kwa goli nyingi kupunguza hiyo gepu ya goal difference. maana namna upizani unavyozidi kuwa mkubwa usishangae mwishoni ikatokea bingwa anabeba kwa goal difference
 
2019 ilikua mwezi Mei Hahaha mambo ya kawa kama hiviiiiii yaaani 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

YNWA
 
hizi game mbili zilivyokaa wiki hii za ugenini city anaweza drop point hapo hope Gerald acheze dhidi ya city namna alivyocheza na sisi kunauwezekano mkubwa kati ya mechi tatu zilizobaki akadrop points cha msingi na sisi tushinde na kwa goli nyingi kupunguza hiyo gepu ya goal difference. maana namna upizani unavyozidi kuwa mkubwa usishangae mwishoni ikatokea bingwa anabeba kwa goal difference
Haya ni matamanio mkuu.Tusubiri match iishe tuone matokeo.
 
salah kisaikolojia hayuko vizur toka atolewe afcon na world cup qualifications. expectations zake awe favourite kwa asilimia kubwa kushinda ballondior baada ya kushinda afcon na kufuzu kombe la dunia sasa amekuwa disappointed sana baada ya kushindwa kufanya vizur kwny timu ya taifa. cha msingi klop na jopo lake wakae nae na kumueleza aache kuwa bias kukimbilia individual awards zaidi ya timu. timu iwe kwanza hizo individual awards kwa sasa zitakuja zenyewe automatic
Na hili ndio liko kichwani mwake zaidi. Anajali sana individual awards ndo maana now zinampaa presha wala hapaform vzr. Maana tangu penati ya February akaja kuwafynga manure juzi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom