Kile kichwa cha Mane bhanaaaaa alivyo adjust chap yaaani.Mané ni![]()
Ubingwa tunabeba hamtaaminiGerrard naye mjua mimi hawezi kuwazuia Liverpool ana mahaba nayo kutoka moyoni pira lita pigwa weee mwisho wa siku lazima Liverpool ashinde.
Dah! Ila game ilikuwa ngumKile kichwa cha Mane bhanaaaaa alivyo adjust chap yaaani.
YNWA
Leo Liver wanacheza kwa presure na stress ku wa. Kila wakiwa na mpira zimwi la city liko mbele yao. Hapo hawatakaa wacheze vizuri unless Klopp awajenge kisaikolojia
Kesho city anafungwa au drooHata city pia wasipopata goli kipindi cha kwanza chote lazima wapaniki.
Ndio raha ya EPL.Dah! Ila game ilikuwa ngum
City ana draw kesho vs wolves na jpili vs WesthamKesho city anafungwa au droo
Penis injury? Real?Hawa A. Villa mbona walianza kucheza rafu sana? Keita kapata penis injury.






Mna wazimu nyie khaaaah,City ana draw kesho vs wolves na jpili vs Westham






Yeah! Na tayari kapigwa POP kwenye penis.Penis injury? Real?![]()
Yeah! Na tayari kapigwa POP kwenye penis.



haupo serious plaster of Paris kwenye muscle
Mpira dakika tisini na huwo ndo utabiri wanguMna wazimu nyie khaaaah,![]()