Mgalula MzTz
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 462
- 422
Imagine being fool
Sawa, ngoja sisi tusubili mechi zote ziishe tujue mshindi nani, wewe mwenye matokeo yako mfukoni, endelea kujifarijiπ€£Kuku ni kuku tu jogoo jina.
Ligi inaisha without PL wala CL, wameambulia kupata Carabao labda na hio FA.
Tutarajie msimu ujao Pep kumwaga kama paund 300m hivi maana si kwa hasira atakazokua nazo
Zile 7 mmesahau mapema mnoHatuja wahi kuiogopa Aston villa na wala hatutakuja kuiogopa .
Tuko vizuri sana.
πππππNdugu yangu wewe kwenye mpira utanifunza nini! Kawadanganye mbumbumbu wenzio cheltako
Kapambane na tim yako mkuu, Liverpool huiwezi ww.Mtaka yote hukosa yote msije mkabakiwa na hiyo capital one tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna member Tena shabiki wa liverpool mwenye akili timamu ,ana mke na watoto kabisa ,Tena mtaani anaheshimika ,anaitwa baba akiwa nyumbani alisema "Steven Gerrard atatuachia point 3 ili tuchukue ubingwa mbele ya City harafu Aston villa atahakikisha anamfunga city game ya mwisho " [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] huyo jamaa huwa nikimwangalia huwa Kuna namna nahisi dish limeyumba au atakuwa anachet cha milembe kutoka dodoma [emoji28][emoji28][emoji28]
Lembua umeanza sasa[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
2019 wakati tunabeba UCL wewe ulikuwa wapi?2018 wakati bale anakunyonyoa na karius wenu ulikuwa wapi ?
Man u na chelsea mnapata wapi ujasiri wa kuingia huku? [emoji1787][emoji1787][emoji849]
Binafsi wake sometimes unaicost team, sehemu ya kupress tu kwa mwenzake aliyeko kwenye position nzuri yeye anabutua njeeeee.
Kuna muda mpaka Mane alikuwa anamwonyesha kanisa wapi kwa kupass lakini jamaa akawa mkaidi.
We should have killed this game at FH, wakati Spurs walipokuwa with tension kubwa kuliko kusubiria miracle.
All in all,
Still long unbeaten
Well done Boys
You Will Never Walk Alone.
Hatukimbiagi nyumba sisi hatujawa man city au Chelsea
Maliafyale yupo wapi achukue kombe lake
Si mgonjwa wa akili ulitamani Liverpool apoteze kabisa? Mataahira ya Man U mwaka huu hamna pa kushika!ππππππSo waya umekufikisha wapi? watu tunaongea fact we unalopoka mataputapu hapa.
Si mgonjwa wa akili ulitamani Liverpool apoteze kabisa? Mataahira ya Man U mwaka huu hamna pa kushika!ππππππ
Kwa sasa ili tuchukue Epl nilazima Pep apigwe game moja au apate game 2 nani kitu kisicho wezekana, nilikuwa naona kwa game zifuatazo tukubali kupoteza game hata moja ambapo tupumzishe wachezaji aisee wamechoka na game vs Aston Villa watumike ili tupambanie FA na UCL tu maana Ramli hazihitaniki ktk football. Tukiendelea kukomaa na Epl aisee for sure tutapoteza FA na UCL kwa pamoja.
Dunia yote ya wapenda mpira ilifikiri liver atamstopisha Spurs.
Spurs itabidi tumdhibiti sisi wenyewe.
Hesabu zetu zilitaka tukutane na spurs huku gape la points ni 5.Spurs kudrop 2 points kwenye possible 3 ni kastopishwa na Liverpool
Liverpool kudrop 2 points kwenye possible 3 ni kastopishwa na Spurs
Hiyo ni lose-lose situation
Wengi wanaangalia Spurs kamstopisha Liverpool, but waliosahihi ni wale tu ambao ushindi wa Liverpool ni disadvantage kwao.
But wale ambao ushindi wa Spurs ni disadvantage kwao kwanini wasihisi Liverpool amemstopisha Spurs while amedrop 2 points?