goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,839
- 13,130
Maisha yake hatabeba Zaid atafukuzwa Happ London tuWana mpira gani zaidi ya counter attack wanazocheza? Conte Kwa mpira huo ndio anataka kuchukua EPL kweli?
Maisha yake hatabeba Zaid atafukuzwa Happ London tuWana mpira gani zaidi ya counter attack wanazocheza? Conte Kwa mpira huo ndio anataka kuchukua EPL kweli?
Shida sio Epl, lengo ni kumpiku Arsenal kwenda Uefa, lazima akili kubwa itumike kufanikisha hilo.Wana mpira gani zaidi ya counter attack wanazocheza? Conte Kwa mpira huo ndio anataka kuchukua EPL kweli?
Unabishana na mtu asiyejua mpira. Counter ni style ya mpira timu zote zinatumiaShida sio Epl, lengo ni kumpiku Arsenal kwenda Uefa, lazima akili kubwa itumike kufanikisha hilo.
Hizohizo counter attack unazozibeza ndio zimewapatia goli moja maridadi sanaaaa.
Akili mtu wanguuuuu.
Leo ni vita ya kuku kwa kuku.
Mmejileta tenaaa 😂😂😂LIVERFOOL WANAONA JEZI NYEUPE WANAOGOPA WANAJUA MADRID
Mwache achukue kwaninkuna tatizo mbwiga? Wayaaaaa huko nyaning'we!Niliandika hapa, you're not technically secured, Spurs hawawezi hata kubuild play, wanapiga pasi mbili tayari wapo kwenye final third, so how is it possible? wachezaji wanahitaji kustep up, vinginevyo wanamwachia city ubingwa.
Tulia mkuu ipenyeWana mpira gani zaidi ya counter attack wanazocheza? Conte Kwa mpira huo ndio anataka kuchukua EPL kweli?
Dah hadi wewe uliyefungwa 4 bila na Brighton umekuja huku ...

Waache yabwabwaje mkuu waya huko!Mmejileta tenaaa 😂😂😂
Tukishinda msiondoke
Kwanza jieleze ulikuwa wapi?Mmejileta tenaaa
Tukishinda msiondoke,msikimbie muwe mnavumilia mpk mwisho
We ni shabiki wa timu gani? I bet utaona aibu hata kutaja.LIVERFOOL WANAONA JEZI NYEUPE WANAOGOPA WANAJUA MADRID
Anafunga saa ngapi huyo Kane?Son waleteeeeeee
Bado goli moja la Kane![]()