Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
π π π π π π π π π The man of the moment.
YNWA
Absolutely right!Hapana mimi sio mbishi ila napenda majadiliano na napenda kumsikiliza mtu mawazo yake lakini sio lazima nikubaliane na kila mtu au watu wakubaliane na mimi, unajuwa mpira tunatizama mmoja lakini ukiisha tunakuwa na maono tofauti hata huko majuu studio wanakuwa na maoni tofauti ila haimfanyi mmoja kuwa sawa na mwingine sio sawa ni maoni tofauti tu kwa kitu kimoja.
Sasa nijenge hoja ya mtu? najenga hoja kwa maono yangu haina maana kuwa mimi niko sawa wala haina maana wewe uko sawa, ukianza kuona wewe uko sawa juu ya wengine huo sasa ndio ubishi. Maoni yanatolewa kwa uelewa wako sio ku copy na paste mtu. Kuna watu watakubaliana na mimi na kuna wataona siko sawa, Mimi sio mchambuzi wa soka mimi ni mpenzi wa Liver na natoa maoni yangu based na mechi sina majumuisho ya kijumla mechi ikiisha natoa maoni yangu. Kuna watu wameona shida alikuwa Thiago, kuna wengine Keita na wengine Full backs ndio raha ya mpira sasa sote tukiwa na maoni sawa hapo ujuwe kuna shida.Tatizo unajenga hoja kwa uelewa wako, wakati huko juu umeshajibiwa kiprofessional jinsi Game plan zilivyokuwa uwanjani mpaka tukapata ushindi.
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Hapa sote ni watu wa Liverpool ndio utakuta kuna mtu ana like na kukubaliana na mimi lakini wako wanapita na wanatoa maoni yao ila mwisho wa siku tunakipenda kitu kimoja na team ikishinda tunafurahi pamoja hata wachezaji wa Liver waki,aliza game kwenye media wanahojiwa wengi na wote wanatoa tathmini zao sio kitu kibaya. Vinginevyo angeongea Manager tu au captain basi.Tatizo unajenga hoja kwa uelewa wako, wakati huko juu umeshajibiwa kiprofessional jinsi Game plan zilivyokuwa uwanjani mpaka tukapata ushindi.
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Mkuu kuna watu wanahisi maoni yao ndio hali halisi. Ilivyotolewa list ya wachezaji kabla game kuanza nikatoa maoni yangu ni bora angeanza diaz badala ya jota na nikasema Diaz ni msumbufu balaa kuna mtu akanijibu eti hatutaki usumbufu tunataka ushindi sasa sijui alielewa nini nilivyosema msumbufuSasa nijenge hoja ya mtu? najenga hoja kwa maono yangu haina maana kuwa mimi niko sawa wala haina maana wewe uko sawa, ukianza kuona wewe uko sawa juu ya wengine huo sasa ndio ubishi. Maoni yanatolewa kwa uelewa wako sio ku copy na paste mtu. Kuna watu watakubaliana na mimi na kuna wataona siko sawa, Mimi sio mchambuzi wa soka mimi ni mpenzi wa Liver na natoa maoni yangu based na mechi sina majumuisho ya kijumla mechi ikiisha natoa maoni yangu. Kuna watu wameona shida alikuwa Thiago, kuna wengine Keita na wengine Full backs ndio raha ya mpira sasa sote tukiwa na maoni sawa hapo ujuwe kuna shida.
Sijapinga maelezo yako ni huyo kocha alicheza Anfield na anamjuwa klopp vizuri lakini tuliona jinsi Villa alivyocheza vibaya Anfield. Namuongea Keita kipindi cha kwanza kama yeye hata kama hukucheza vizuri lakini alifanya makosa mengi sana kuna kipindi akataka hata kuwapa penalty wale jamaa na pass ya nyuma bila kuangalia. Baya zaidi Arnold na Robertson walicheza hovyo sana kipindi cha kwanza sio kushambulia hata defence. Sote tunajuwa Liver ni bora kuliko walivyocheza kipindi cha kwanza sasa ukisema Unai anamjuwa sana Klopp kwani alivyoenda Anfield alikuwa hamjui? second half almsahau Klop? Liver kwa team ni bora kuliko Villa kwa mbali zinatokea siku huchezi vizuri team au mchezaji. Hakuna hata mchambuzi mmoja aliona kuwa atatolewa Jota na kuingia Diaz kipindi cha pili kwa baade tulijuwa Diaz ataingia kila mtu alikuwa anaona shida ni Keita na Thiago lakini hakuwatoa. Liver waliingia na kucheza kama Liver na Mane miaka yote na mafanikio yetu alikuwa anatoka huko kushoto tusiseme leo Mane sio mzuri kushoto hiyo ndio nafasi yake. Jamaa walichoka tu mziki ulivyoanza.
Moreno yupo timu gani sasa ivi?