Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tatizo lilianzia pale VR waliposwitch kutoka game approach ya first half (attacking with physic) kwenda ile approach ya first leg (defending with counter attack).

Kilichowakuta ndicho hicho mnachokiona.
 
Klopp hua anajua anachokifanya siku zote, yeye anajua unakujaje, halafu anakuamnisha kwamba yeye hajui unakujaje, ukishakuja sasa, baada ya muda anabdilika analeta game plan aliyokusudia anakumaliza
Kwani kocha kakosea wapi, Roberston na Jota ndio mmoojawapo wa wachezaji wa kutumainiwa, leo form zao zimeshuka, wamezidiwa. Kocha sio nabii wa kujua kuwa leo wangecheza below form
 
YNWA πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ‘πŸ‘πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺπŸ“―πŸ“―πŸŽ΅πŸŽ΅πŸŽ΅πŸ‘πŸ‘
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…