Sarah?Sarah mchoyo
Mguu wa kulia hauamini sana kama wa kushoto.Sikuhizi Salah kweli hawezi kufunga one to one?
Yaani Liverpool imekuwa kama machine ya kuchakata uchafu inakula kila takataka inayopita mbele yake4 games to play EPL.
Southampton
Tottenham
Wolverhampton
Aston Villa
FA Final
Chelsea.
UCL 2 games to play
Villarreal
Final.
Jumla tumebikisha mechi 7 kumaliza msimu huu.
YNWA
Sikuhizi Salah kweli hawezi kufunga one to one?
Next season hatupaswi kufanya kosa lolote kwenye Ligi then tutaweza kumshinda Pep kwani tukikosea tu ni vigumu kumshinda post January
Bhana St James tangu January nadhani ndio wamefungwo kwa mara ya kwanza leo.Yaani Liverpool imekuwa kama machine ya kuchakata uchafu inakula kila takataka inayopita mbele yake
Tusipokua makini hapo tunaweza draw...
Klop cjui kwann hua n mgumu kufanya sub