Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
YNWA
Hata mimi kinanipa wasiwasi but ngoja tuone itakavyokuwa... uzuri benchi limesheheni.Hiki kikosi cha leo....kinanipa wasiwasi
🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿
Ingekua vice versa waingie vijana wa kazi aka A listers mapema wamalize shughuli aafu kipindi cha pili dakika 70 ndioo sasa hawa wangeingia Keita, Gomez, Milner, Jota.Hata mimi kinanipa wasiwasi but ngoja tuone itakavyokuwa... uzuri benchi limesheheni.
Klop Leo kala cha Arusha ila ngoja tuone boss is always right
Itakua OllaChuga Oc anahusika aisee si bure.Klop Leo kala cha Arusha ila ngoja tuone boss is always right
Ndio kitu nilichomaanisha mkuu au wewe umenielewaje?Sheria ya goli la ugenini ilikwisha ondolewa.