Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Huwa nawashangaa sana watu wanaotembelea historia kutabili matokeo , badala ya kuangalia kikosi cha Sasa kilichopo ....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya bhana wewe jifariji hivo hivo ila REAL MADRID mbele ya UCL ni habari nyingine kabisa
Achana na wao kuchukua kombe hilo mara tatu mfululizo
Nadhani wao ndiyo timu ya kwanza kufika Final nyingi la UCL achana na hilo
Achana na ila Final dhidi ya ATM goli la RAMOS dakika za lala salama
Achana na ile kibao cha Bavarians
Madrid ni team hatari hasa UCL.
Makosa yapo hata nyie city mnamakosa mengi sema usahihishaji wa haraka ndio unaowasaidia tena ni vile hayupogi mshambuliaji wa makini vinginevyo mna bahati nzuri tu
Ila pambana tukutane final japo hata mimi sijui kama nitafika
Kuna kila dalili hili jini likatafunwa na jogoo dry.
Aipo kwere Chali wangu ..upo mageitan unachimba ma gold nini hahahaππChalianguu nipo Geitani huku kwa wasukuma bana. Ila natimba fasi za Gachustan soon lazima nikudere meku.
Daah saivi nimekuwa mpole TU yani πππArsenal kamkimbiza OllaChuga Oc [emoji1787][emoji1787]
Anaondoka na Chelsea itabaki kuwa timu kubwa sana TU.
Hahahahaha kwa sasa hii pointi moja lazima uchapike ama utoe sare ili sasa tuanze mbio za nani mwenye magoli mengi.Ooooh astionvilla atawasiamamisha ,nyie wenyewe mna game na villa ,na yupo nafasi ya 15 huko akizubaa atajikuta 18 ....
Mar ooh wolves hawachomoki ,nyie wenyewe mna game na wolves ,kwa hiyo nyie mataenda kuchukua point tatu bure ,huwa nabaki nacheka [emoji23]..
Mara ooh watakutana na Newcastle ngumu ,hata nyie Newcastle mnaenda kukutana nae jumamosi tu hapo ,Sasa sijui nyie ndio mnaweza kumfunga pekee yenu [emoji23]....
Mara ooh westham atawasiamamisha na sisi ndio tutawapita hio point Moja ,utafikili wenyewe hawana Spurs Tena inatafuta top four zaidi ya simba mwenye njaa [emoji23][emoji23]...!
Sema jamaa ni fundi,halafu anafunga mechi zilizoshindikana ambazo wenzake wote wameshindwa kufunga.
π₯π₯π₯π₯π₯
Uzuri wa EPL una matokeo ya kustukiza sana kiasi hutaamini.Mkuu kwa sisi tunaofatilia mechi kuna mechi kabisa unaona city leo anashinda goli nyingi,
Mechi na Watford ilikuwa iko wazi city anashinda tu,ilikuwa haina ugumu wowote hamfunge wolves au westham na Newcastle .akicheza na hizo timu anapata ushindi kipindi cha pili na kwa taabu sana.
Ushindi wake wa kipindi cha pili na kwa taabu sana ndio mimi unanipa wasiwasi sana kwamba hatapoteza tu
Tofauti na sisi ,sisi tunaonekana tunauwezo sana kuanzia raundi ya pili imeanza hakuna kupoteza mechi hata kwenye Epl.
Mkuu mie nachojiuliza ni hio mentality yaaani huo utayari wake kuingia na kupambana vile huku akiwa hajacheza wala hata uhakika wa kucheza haupo tena of course Mos alisema alikua akicheza mechi kadhaa mkataba wake unaji renew automatically pengine Klopp kaona akasake maisha kwingine benchi sio mahala pake.Sema jamaa ni fundi,halafu anafunga mechi zilizoshindikana ambazo wenzake wote wameshindwa kufunga.
View attachment 2200957
Huyo dogo kwa kitendo cha kumvuja mguu VVD msimu uliopita anafaa akacheze huko daraja la 2 hakuna namna.Ndio naona hapa uwaki aliotufanyia.View attachment 2200530
Anatupa good time sana.π₯π₯π₯π₯π₯
Huyu dogo ni fundi π
Sema nao mashabiki wanajua kushangilia aiseeπππ