Huyu Babu Mbrazil alipigiwa pande la kazi na Allison.
Yaani hadi Asenali wanawatandika🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ni kaupepo tu katapita 😂😂😂😂
Yaani hadi Asenali wanawatandika🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂Hatari💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃
Aiseee yule Kipara rasmi anatua mpeni muda sasa msi take quick fix vinginevyo wala hayapiti unavyotegemea.Ni kaupepo tu katapita 😂😂😂😂
Mbio za nafasi ya nne msimu huu zimenoga sana yaaani hakuna mwenye uhakika maana na huyu Aseno utashangaa anachezea kwa timu usiyotegemea.Yaani hadi Asenali wanawatandika🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkuu huyu dogo wa Watford Emmanuel Dennis unamuona aje hua namwelewa sanaaa kuliko yule Sarr.Naona Watford wameamua kumzawadia magoli man city [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha anamuwaza Allison jamani haya...Huyu Pain killer anajitekenya na kucheka mwenyewe, hivi hamna mashabiki wengine wa Man city?View attachment 2197838
Kumbe mnaangalia mpira kwa maumivu makali [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu huyu dogo wa Watford Emmanuel Dennis unamuona aje hua namwelewa sanaaa kuliko yule Sarr.
YNWA
Watford alishawahi kukupiga 3-0 umesahah ...!Naona Watford wameamua kumzawadia magoli man city [emoji1787][emoji1787][emoji1787]