Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Huyo Thiago mbona mnampamba sana sijaona uhodar wake mnamu overate tu.

Footballer recognizes footballer! Sasa wewe hata Chandimu hujawahi kucheza utauonaje uwezo wa Thiago?
Endelea kuangalia uwezo wa Xhaka na Lokonga tu ndiyo size yako Kijana.

Hata mimi huwa nashangaa Sana , kuku bana

Mwenye uwezo ni Grealish tu anayesumbua EPL muliyemnunua kwa bei rahisi.
 
Footballer recognizes footballer! Sasa wewe hata Chandimu hujawahi kucheza utauonaje uwezo wa Thiago?
Endelea kuangalia uwezo wa Xhaka na Lokonga tu ndiyo size yako Kijana.

Mwenye uwezo ni Grealish tu anayesumbua EPL muliyemnunua kwa bei rahisi.
Super jack grealish the best player of all time in England,anapata namba kwenye kikosi cha taifa england na kuaminika hasa kuliko captain wenu
 
Nimeangalia hii picha nimegundua apart from Individuals issues ila united pia wana tactical issues, kivipi?

Kwenye picha Liverpool anabuild play in 3-1 shape, wakati United anapress kwa 4-4-2 shape, liverpool ana extra advantage kwenye first line sababu ana numerical superiority 3v2, yaani watatu wanapressiwa na wawili wa united,
kwenye last line ana 6v4 wachezaji wanne wa United wanablock watu sita. Sikuangalia mechi so sijajua kwenye settled play walikuwa wanashift vipi defensive shape, may be walikuwa wanadefend na back 5.

So Rangnick angefanya nini?

Binafsi ningemshauri Man mark Fabinho ili kupunguza circulation kwenye midfield anaporeceive mipira from the first line, so Liverpool either wangecheza long balls kuitafuta settled play thru 1st & 2nd balls winning or Thiago adrop kwenye deeper areas kureceive, so shape ingechange kuwa 3-2-5 ingempa Rangnick ahueni sababu kwenye last line ingekuwa 5v4 then kama mchezaji mmoja wa united angedrop kuform back 5 ingematch up kuwa 5v5. So wangefungwa may be kwa kukosa intensity na sio tactical aspect of the game. Lakini kwa hali ilivyo inaonesha United wanakosa proper structure na wachezaji wengi ni toxic players.

View attachment 2196559
Manchester United hata wangeweka pale nyuma mabeki 6 ama 7 wanegpasuka tu.

Kwa kifupi playing kwenye level za juu EPL inahitaji kabla ya yote nidhamu ya kuweka position kulingana na maelezo ya kocha ama kutokana na opponent unaekutana nae. Pale unavyona Maguire alikua Out of position na kwa hilo tu ni kosa kubwa vs Liverpool wenye quick remarkable runners Trent, Salah, Mane na Diaz lazima wangefungwo tu.

Ni kweli ukimvuruga Fabinho unavuruga ile fluidity pale kati lakini ili ufanikiwa hilo lazima uwe na ballers maana pale tunapozidiwa kati hua MF wengine wa narudi nyuma kumsaidia bald baddest Fabinho tazama stat za Thiago anvyocheza inakua kama double pivot mechi zingine na hapo ukicheki stat utaona Fabinho hio mechi anakua crowded
Kingine pia kwetu Fabinho sio creator ki vilee wala muanzilishi ya mashambulizi yetu yeye moja ya kazi yake ni kua 1st line ya defence pale tumepokonywa mpira huku Trent na Robbo wakiwa high up the field na wamekua bypassed basi kazi ya Fabinho ambae muda huo kuna high line anakua almost ni beki sasa akisaidiana na Matip na VVD.

Ukitaka kuwadhiti Liverpool basi dhibiti Trent na Robertson hapo utakua umeua main creators. Na hawa ndio circulators wakuu maeneo ya hatari. Huku MF wao wali recycle passes kama hakuna mpenyo.

Otherwise Profesa kuanza na mabeki watano pale nyuma ambao pia janga kama Jones sina uhakika hata kama kwa miaka hii miwili hata ana gemu 5 amecheza yaaani huyo ndio asimame na Diaz kweli.
Kingine kutokua clinical ma kujiamini kama Rashford alipata nafasi 2 ambazo zamani angetupia lakini sasa pana shinda pale hakufunga.

Liverpool tuna momentum tazama ile pasi ya Mane kwa Salah yaaani ni kiwango na hakubahatisha. Hivyo wale kupigwa ilikua haikwepeki na unashangaa magoli mengi hapana tena ni machache aisee.

YNWA
 
Nimekuelewa sana mkuu, humu mna mtaji mkubwa wa kudiscuss issues, sisi tuna kina Computerarsenal

Najua liverpool ni top team, ofcourse mnaimplement positional play, so mlikuwa mnauwezo mkubwa wa kuwadestroy no matter what, of course hata build up ya goli la pili ilitokana na positional play na ule mpira ni mkubwa sana si level ya United.

Lakini mbali ya kuwa wachezaji wa united ni mabitoz wameshindwa kuweka intensity within structure ila bado hata Profesa amefeli kuafford a top structure kuipa timu uwezekano wa kushinda mechi.

So 4-4-2 press nadhani hawa wawili mbele lengo aliplan kuclose passing lanes to #6 Fabinho asiweze kureceive in between the lines ili kuua central progression, so profesa akajipanga kucounterpress km mngecheza long balls, unfortunately Thiago anadrop kwenye deeper areas / TAA anakuwa inverted zaidi kureceive kwenye 2nd phase na shughuli ya profesa ikaishia hapo.
 
Kabisa ndugu...
Profesa kipindi cha pili mwanzoni kabisa waliamsha vyema sana kuanzia dakika ya 45 mpaka 66 walicheza vyema lakini kutotufunga ikaja wagharimu dakika ya 67 Mane akatupia la 3 baada ya breakmoja matata kutoka kwa Robertson na hapo wakawa hoiii sana maana ikiwa 2 0 waliona bado wapo within catch kutuumiza lakini baada ya kufunga la 3 ikawa ni Liverpool sasa wana control tempo uwanja wote.

IIpo hivi Liverpool inafungika vizuri tu lakini ni kwa timu itakayocheza mpira wa almost man to man marking yaani kuhakikisha tunapoteza pass, hatushindi tena second balls hivyo tunakosa rhythm na intensity, tazama ile gemu tulifungwo moja bila na Inter Milan UCL pale Anfield yaaani mijamaa dakika 90+walikwenda jino kwa jino na sisi hata ile mechi ya pale Ethad vs Manchester City ilikua hivyo hivyo yaaani Pep beat us at our game hatukutulia kabisa pass zilipotea sana sababu any misplaced pass kuna mchezaji wa Manchester City yupo pale yaaani Liverpool hua mipira ya hivyo tunakwama maana ndio kimsingi mfumo wetu ambao ni cheza highline pokonya timu pinzani mpira wakiwa nusu yao na aanzisha mashambulizi ya hara ili kuwaumiza. Kocha wowote mwenye kuhitaji pointi kwa Liverpool lazima aje acheze mpira wetu na hapo tunakua butu balaa yaaani hatuna tena uwezo.

Lakini pia lazima kuwe na harmony kikosini ili kuleta mshikamano hii inampa Kocha kibarua rahisi kuweka mfumo na kupanga kikosi bila disturbing.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom