Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,448
- 32,877
Aisee asante Thiago.
YNWA
Hata mchukia epl ,CL ,FA ,carabao ,tatizo sio mane tatizo ni uafrica .....wapo tayari hata kumpa Henderson Le captain Wala sio mane ...!View attachment 2198392
Utaona Pain killer anabisha na hii wakati wenye timu yao pale Ethad wanasema twende na Mane mchezaji bora wa msimu huu. Hakika apewe tu.
YNWA
Huogopi tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Ubingwa wetu msimu huu acha kukata tamaa mapema
Niogope nini sasa sisi tunasema one game at a time mpaka dk 90 za raundi ya 38 ziishe ndo tutaangalia nani kabaki pale juuHuogopi tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Halafu nauhakika man shity fans ndo mnaangalia gemu kwa presha kuliko sisi sisi tunafukuza mwizi mbaka tumpiteMuda wa Liverpool fan kuaangalia mpira wanatetemeka na kushikilia mbupu [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haogopwi mtu nyie pambaneni na hali yenu mwisho wa siku tutajua nani mwanaume nani mvulana[emoji1][emoji1]Halafu nauhakika man shity fans ndo mnaangalia gemu kwa presha kuliko sisi sisi tunafukuza mwizi mbaka tumpite
Duuuh noma sanaaaa.Hata mchukia epl ,CL ,FA ,carabao ,tatizo sio mane tatizo ni uafrica .....wapo tayari hata kumpa Henderson Le captain Wala sio mane ...!
Subili kilio [emoji23]Another 3 points
[emoji16] mwaka huu utakufa kwa preshaRicharlison vunja miguu ya kina mane haooo ...
Wale wa Everton tujuane mapema