Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kikubwa nilichojifunza leo ni Liverpool na mashabiki wake kukosa ubinaadamu pamoja na utu hata kwa wafiwa.
Watu tupo kwenye huzuni ya msiba badala ya kuwafariji wafiwa nyie ndio kwanza mnatuongezea simanzi.
Kikweli kabisa sijazipenda tabia zenu.
 
liva ilishatoa rambrambi zake dskika ya 7 ya mchezo

natanguliza shukrani
 
Adjustments.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom