Hivi kwamba Liverpool sasa hivi ni wa motoooo balaa kiasi hata baadhi ya mashabiki wa Manchester United wanasema tusiwapige mvua kama kule Theatre of dreams...
Aisee ina maana hii timu yao wanacheza kukamilisha ratiba tu hakuna kingine jamani pamoja ni kwamba Liverpool tuliwai kua vimbaya zaidi yao lakini gemu zetu dhidi ya Manchester United na Everton kipindi kile tukikutana nilitegemea ni ushindi tu hakuna sijui tupigwe machache wala nini.
Wazungu wanasema " kicks of a dying horse can be dangerous" hivyo hakuna wepesi wowote kwenye gemu ya Liverpool na Manchester United au Everton cha msingi ni mikakati ya Klopp na pale kati ningependa nione MF ya Thiago, Keita na Fabinho mechi ya Jumapili pale Wembley walinipa show moja kabambe sana.
Liverpool Baba Lao.
YNWA