Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,448
- 32,877
Klopp is the King.
YNWA
Kipara anatamani amkate vibao[emoji1787][emoji1787]
Dadeq [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 2189980
Mane is on [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
YNWA
Leo katalala na stress
DuhAna kilo 69 Hahaha.
Umetishaaaaaa
YNWA
Ndiyo raha ya kumaliza biashara asubuhi [emoji28]Ila zingeongezwa dakia tatu tu, ngoma ingetoka droo
and the pain goes to Chelsea fans.Hongereni sana. Mapambano bado yanaendelea.
Ahahahahaaa mkuu punguza mtungi😃😃😃Wakuu
Mkiona kesho kwenye habari wakitangaza kuwa kijana mmoja mwenye jezi ya Liverpool amekutwa amefia kifuani kwa mkewe mjue ndio mimi.
hii Liverpool inanipa raha kuliko mke wangu
Captain Marvelous
View attachment 2190006
sasa mkuu nitafanyeje na kesho sikukuu tenaAhahahahaaa mkuu punguza mtungi😃😃😃
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mie kwa kile kikosi wala hata sijashtuka yaan.and the pain goes to Chelsea fans.
View attachment 2190009