Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Na nguvu anazoUrefu anao hivyo anautumia vyema kutafuta mpenyo kutupia kichwa safiiii.
YNWA
Na nguvu anazoUrefu anao hivyo anautumia vyema kutafuta mpenyo kutupia kichwa safiiii.
YNWA
Mane wetu jamani nyie






Super Mane




Lazima aweweseke
😂😂😂😂Una minguvu kumnyanyua Mane jamani.Mane wetu jamani nyie
Natamani nimnyanyue juu![]()
Hivi ana kilo ngapi?Una minguvu kumnyanyua Mane jamani.
YNWA




Saizi atulie kwanza, naona kapoteana aiseeDogo anafosi kurudisha makali yake.
YNWA
Yaani walivyo liwa wao ni nyie mkaliwa LukakuMara moja kwa msimu mzima, hakuna kitu pale, Grealish anasifa ya kukaa na mpira tu hadi akwatuliwe ndio sifa yake kubwa, City waliliwa hapo



Alivyo toka Thiago na Keita mashambulizi kwetu yaliongezeka aisee.View attachment 2189904
MF leo ya Keita, Fabinho na Thiago imeeleweka vyema.
Kwa mara ya kwanza tumeona mipango ya Klopp pale kati anahitaji nini kwa MFs wake.
YNWA
Mkuu hawezi kutulia anafosi ili azidi kupata dakika uwanjani ujue maana Klopp ameshaanza kuulizwa kama hafungi kuna haja gani aanzishwe.Saizi atulie kwanza, naona kapoteana aisee
Kabisa leo MFs zetu wamekua na gemu powa sanaaa.Alivyo toka Thiago na Keita mashambulizi kwetu yaliongezeka aisee.
Ana kilo 69 Hahaha.Hivi ana kilo ngapi?
Ntamuinua tu hata mkono![]()