Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,780
Dah! Nimeiona mkuu kumbe ipo vifurushi vya chini.Dstv 227
Dah! Nimeiona mkuu kumbe ipo vifurushi vya chini.Dstv 227
Kifurushi cha chini kabisa hicho.Hichi sio kifurushi cha 900000+?Vifurushi vyangu huwa havizidi 31000
Nimeipata mkuuKifurushi cha chini kabisa hicho.
Aisee bado sana kusema hilo.City out of KDB hovyo kabisa
Majeruhi haya ndizo zitamnyima city makombe mwaka huu
La pili na mengi yanakujaAisee bado sana kusema hilo.
Ngoja tuone.
YNWA
Kwa hiki kikosi cha city alichotupangia leo ingekua dhambi kama ningeacha kutamba...Asilimia kubwa ya mashabiki wa Liverpool huwa hawajisifu saaana kuwa wao ni bora, nashangaa watu wanavyo jisifu kuwa wanaenda kumpiga man city direct acha dakika 90 ziongee matokeo yoyote mimi nitayapoke![]()



Kwa hiki kikosi cha city alichotupangia leo ingekua dhambi kama ningeacha kutamba...
Leo ndo siku ya kumuoshea kipara


kabisa