Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
YNWA
Mkuu link ya kuangalia mpira nipo nje ya mji
Daaa pep kaamua kuwaachia fa ....! Tukutane kwenye mbio za kunyakua eplKwahiki kikosi cha city yaani Leo tusipowagonga goli za kutosha ndo basi tena?!

Leo utajuta nakuapiaDaaa pep kaamua kuwaachia fa ....! Tukutane kwenye mbio za kunyakua epl![]()



www.sporttrack.liveMkuu link ya kuangalia mpira nipo nje ya mji
Mimi nishaona kikosi ,matokeo yeyote ni poa tu kwangu ....!Leo utajuta nakuapia
![]()
Aisee yaani kiungo chenu ovyo kabisa... Halafu nikiangalia Leo Klop kapanga kikosi navotamani yaani ni full mashambulizi mtajuta nakuambia we subiri..Mimi nishaona kikosi ,matokeo yeyote ni poa tu kwangu ....!



Haijalishi pep kapanga kikosi namna gani, mnaweza kututoa FA mkuu.Mimi nishaona kikosi ,matokeo yeyote ni poa tu kwangu ....!
Mimi nishaona kikosi ,matokeo yeyote ni poa tu kwangu ....!
Dstv 227Channel gani wanaonyesha hii match?
Hii game naona mkitutoa fa ....!Mkuu leo matokeo ngapi ngapi? Ile mechi iliyopita ulipatia kama ulivyotabiri.
Hii game naona mkitutoa fa ....!
Huu mkoko wa Liverpool,daaaa ......bila kuwa na walker ,Rodrigo , kDB, Ederson cancelo aloooooHaijalishi pep kapanga kikosi namna gani, mnaweza kututoa FA mkuu.








Asante nimeona.Dstv 227
Thubutu, cty wachezaji wake wote wana spirit ya ushindi hapo muamuzi ni 90min tuDaaa pep kaamua kuwaachia fa ....! Tukutane kwenye mbio za kunyakua epl![]()
Hichi sio kifurushi cha 900000+?Dstv 227


Vifurushi vyangu huwa havizidi 31000