Kuishabikia liverpool ni usaliti mkubwa sana nitakuwa nimefanya. Huu msimu muko faya aise musipobeba hata angalau uefa au EPL duh nitawashangaa sana ..ila msimu ujao kwa watu kama Salah, Mane, Firmino Kuna wezekano wakapwaya na kiwango kushuka. Hivyo huu ndio msimu wenu Sasa..[emoji3][emoji3][emoji3]
Sema ninyi mulifurahi sana sisi kutolewa maana mziki tungeleta endapo tungepita basi ingalikuwa ni balaaa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Assume Chelsea,Man City,. Liverpool ndani ya uefa dooh [emoji24][emoji24][emoji24]
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]