Narekeremo
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 723
- 768
Wadanganye labda ma vikombe ya uji.Liverpool, nasikia huko Munich kuna msiba wa kitaifa, huu ni wakati wenu kupiga dabo dabo makombe, mkono wa kulia EPL, mkono wa kushoto UEFA. hii ndio nafasi yenu.
OllaChuga Oc kwani hawa wachezaji wako wa dunia wanaingia saa ngapi ama wanaingia kupiga penati nini?Hivi mkuu huoni our WCP wameleta uefa, super up, CWC Yan makombe makubwa makubwa na bado sisi ni mabingwa watetezi ..Sasa ninyi players wenu kwa Jin's walivyo wa kawaida basi kwa kubeba carabao kwao ni ushindi tosha. Sisi ni Chelsea bwana alaah 💙💙💙 ..tuna WCP ambapo Kila timu itahitaji huduma zao ..niambie ni wapi Werner au Harvet, au kante anaweza kosa namba? Sasa huyu mfano Jota au Diaz hao ata pale arse8 hhawapati namba🤣🤣🤣
Villarreal hawakubali kushindwa aisee, yaani wanajitahidi sana.Klop huko aliko kwa sasa hana imani na hili kombe hawa watoto vichaa hakika lazima wamyime usingizi kwa mashambulizi yao ka siafu dah!
You will never walk aloneWadanganye labda ma vikombe ya uji.
Usimchukulie powa Unai huyu bwana ni masta wa Uefa.Liverpool, nasikia huko Munich kuna msiba wa kitaifa, huu ni wakati wenu kupiga dabo dabo makombe, mkono wa kulia EPL, mkono wa kushoto UEFA. hii ndio nafasi yenu.
Usimchukulie powa Unai huyu bwana ni masta wa Uefa.
Klopp alikutana nae akiwa Sevila fainali ya Uropa wee mbona alitupiga akiwa ametulia kama leo yaaani.
Hawa ma under dogs hua ni shinda sana aisee.
Bayern wanalia mpaka sasa.
YNWA
Bhana Unai hua Uefa anaijulia kuliko La Liga yaaani leo kapiga mpira mwingi sana maana muda mwingi alishambuliwa yeye.Mkuu inaonekana jamaa wana defense ya kueleweka sana ni kuwa makini sana.
Kuna tetesi yule kocha wao ni kama mbinu zake hazikumbaliki pale.Bayern ya msimu huu haina makali sana kama ile ya misimu kadhaaa nyuma, sijui wanakwama wapi.
Tupo hapa tunakusubir mkuu...nadhani ushamalizana na madrid.Skizeni nyie kuku ..ngoja nimalizane na hii mbanga madirid halafu nirudi na mashambulizi ya kutosha hapa.
This is Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Sahihi kabisa Klopp hapa sasa tupite kesho salama aafu aanze profiling namna ya ku wazima hawa Real Virrareal hakuna namna ni wao ama sisi.Ni kweli usemayo mkuu , halafu eti sisi utd ndio tulikua tunalilia kuja anga hizi tunachekesha kweli
Anyway najua klopp akituliza kichwa vizuri kabisa najua ataiona loophole mahali kwa hawa maandadogi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tupo hapa tunakusubir mkuu...nadhani ushamalizana na madrid.
Bwebwe zote zile kachemka sijui alidhani Madrid ni Southampton tena maana maneno yamemtoka balaa.OllaChuga Oc [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alianza kulia katikati ya mechi nikajua hapa hatoboi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Miss Liverpool Saint Anne kamcheki jamaa yako OllaChuga Oc yupo hoiii katema nafasi yake kusonga mbele kuingia nusu fainali Champions league.
YNWA
Bingwa wa dunia Nijaalie Hali yako uko ulipoLeo Dunia nzima Ina furaha Club bingwa wa Dunia nzima anacheza Leo.
Njooni mushuhudie kandanda Safi kutoka kwa mabingwa wa Dunia nzima.
Sisi ni mabingwa watetezi na Dunia Ina furaha sana Leo
Ushindi ni lazima.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alionekana akijipa matumaini dakika chache zilizopita[emoji1787][emoji1787]Bwebwe zote zile kachemka sijui alidhani Madrid ni Southampton tena maana maneno yamemtoka balaa.
YNWA
Kazi bado ipo Villarreal hawafai mkuu ila tujiamini tu.Bayern karahisisha kazi.
Wenzie akina lembu wanaelewa ugenini ukiwa umetanguliwa 3 sio kazi nyepesi kurudisha lakini huyu Mkaskazini muda wote yupo humu jamvini kama vile kashapita anawasubiri Kipara ama El Cholo nusu fainali.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mshkaji wangu Ollachuga atakuwa ashajifunika blanket usoni